Recent content by kideleko

  1. K

    Je, ni njia gani inatumika kusafisha tumbo?

    Mkuu kile kidawa huwa kinatafunwa na karanga chenyewe unaweza rudisha change mapema kabla hata hujameza
  2. K

    Natafuta watengenezaji wa interlock brick machine

    nenda SIDO,kule unga Ltd
  3. K

    Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

    Pamoja nakutokujua siasa za bunda,ila wasira amekuwa kimya jimboni kwake tofauti na wabunge wengine.inaonyesha mzee anaona akitoka jimboni tu!atampa nafasi bulaya.
  4. K

    Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Biashara zipo nyingi ml 100 kwa mtaji washilingi ngapi?
  5. K

    Kila mwanamke ninaeishi nae ndugu zangu hawamtaki

    Nikuulize,ukioa huyo mwanamke unaenda kuishi nae kwako au kwenu?
  6. K

    Hivi nyumba kama hii inaweza gharimu Shilingi ngapi?

    Itafikia 800 kama uwanja utanunua 650.ukitoa gharama za kiwanja hiyo nyumba ni kati ya 150-170.
  7. K

    Magari ya Mkoa mbona yanapita Bagamoyo Road?

    Dar - msata via bagamoyo road km120,nakutoka msata chalinze 40
  8. K

    Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

    Wakuu ishu iko hivi lema alikwenda kwenye kituo cha uandikishwaji kura,baada yakuambiwa na baadhi ya Waandikishwaji kwamba tumezuiwa kujiandikisha mpaka waliotangulia waishe.lema baada yakupata habari hizo alikwenda nakuuliza vp?akajibiwa,kunawalioandika majina yao jana jioni baada ya muda...
  9. K

    Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    Ajira zimeongezeka sna,toka watangaza nia waanze kutangaza nia zao.
  10. K

    GE2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

    Nipo njiani ila nimekutana na makundi ya Magari tofauti zikiwemo costa na mabango team lowasa 2015-2020,naona wameandika na maeneo wanayotoka ili wajulikane pesa walizopewa kwasafari zimefanya kazi.
  11. K

    GE2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

    Watu wakaribu na viongozi wa mjengoni inasemekana kuna kipindi ilifikia bi kiroboto alitoa angalizo "huyu kijana yaani lema anaweza akakunyemelea hata kwenye korido akakupiga kwy kuweni makini"
  12. K

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Star tv kwamujbu wa bbc wanadai ndege imeshindwa kuingia baada ya mipaka yote kufungwa.nahivyo kuelekea kwa yowel kaguta.
  13. K

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Kamanda naomba unijuze nimepima nikaambiwa damu iko nyingi na ni nzito kwy haiendi kwa kasi itakiwayo.nikaambiwa dawa ni maji au asprin.je kuna tiba lishe?
  14. K

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Mkuu damu kuwa nzito mwilini nakusababisha kutotembea kwa wakati.nini dawa yake?ukiongezea na kunywa maji kwa wingi.
  15. K

    Angalia Namba Ya Simu yako Namba ya Mwisho inaishia namba ngapi?

    Sasa sisi wenye no zaidi ya mbili mkuu tuko kundi gani?
Back
Top Bottom