Hivi nyumba kama hii inaweza gharimu Shilingi ngapi?

Hivi nyumba kama hii inaweza gharimu Shilingi ngapi?

Itafikia 800 kama uwanja utanunua 650.ukitoa gharama za kiwanja hiyo nyumba ni kati ya 150-170.
 
Hiyo ni nyumba ya kawaida tu na unatakiwa upige hesabu ya nyumba mbili za kawaida tu, tofauti ni hiyo flow ya zege inayotenganisha nyumba ya juu na chini.

Piga hesabu ya kufunika hiyo flow ya juu kwa gharama ya nondo, saruji, kokoto na mchanga.

Majengo kama hayo hujengwa na wahandisi walio na leseni, sio mafundi wa mtaani hivyo unaweza kupiga hesabu hasa ya kumlipa kuanzia kwenye mashimo makubwa ya msingi hadi kufunika sakafu ya juu na baada ya hapo unaweza kuajiri mafundi wa kawaida kumalizia japo sina hakika kama mhandisi anaweza kuchukua tenda ndogo.

Kuna mhandisi wa umeme utatakiwa kumpa zabuni ila ukikomaa vizuri unaweza kusave mil.100 japo inaweza isiishe kabisa lakini ikahamia na kuanza maisha yako huku ukiimalizia taratibu.

Majengo kama hayo yanakuwa na gharama kubwa endapo utakuwa unanunua vifaa vya ujenzi kwenye hardware za mitaani, ila kama utaamua kununua saruji kutoka kuwandani, nondo kiwandani, mabati/vigae kiwandani, vioo na frame zake kiwandani huku tofali ukazitengrneza mwenyewe gharama itapungua kuliko kununua kwa mawakala wa kati.
 
Nakumbuka miaka ya 90 ukiwaambia watu kuwa finishing ya nyumba ni ghali sana walikuwa wanabisha hadi basi.

Nafurahi uelewa wa watu umekuwa mkubwa kwaňi karibu wote wanaongelea finishing.

Ina maana Watanzania tumejua maana ya High Quality.... Hongera zetu wote.

Hii inasaidia hata mzunguko wa fedha maana hao wanasema jenga kadogo, fedha kula, khaaaa....

Ninapenda JIKO na Bafu/choo kiwe kikubwa cha kutosha, kama mita 4 kwa 5 hivi, jiko lizidi hapo.

Mtu unaishi mara moja tu, utakufa uziache na Mume mwenzako tena Dogodogo azile na akuchapie Mkeo.

Ila msizidishe sana hadi inakuwa kufuru, Mitoto itawakimbia na Mitoto yenyewe ya siku hizi haizai, mtaota kuwa na Wajukuu ambao hata wakipatikana, Wazazi wao hawawapeni kama ilivyokuwa zamani.
 
Ikizidi sana mil 300.
Gharama kubwa zipo kwenye msingi hadi jamvi (kutegemea na kiwanja kipo tambarare au slope)

Kisha uje slub na ringbeam pamoja na kuezeka

Halafu kuna mziki wa finishing.....
 
Hiyo ni nyumba ya kawaida tu na unatakiwa upige hesabu ya nyumba mbili za kawaida tu, tofauti ni hiyo flow ya zege inayotenganisha nyumba ya juu na chini.

Piga hesabu ya kufunika hiyo flow ya juu kwa gharama ya nondo, saruji, kokoto na mchanga.

Majengo kama hayo hujengwa na wahandisi walio na leseni, sio mafundi wa mtaani hivyo unaweza kupiga hesabu hasa ya kumlipa kuanzia kwenye mashimo makubwa ya msingi hadi kufunika sakafu ya juu na baada ya hapo unaweza kuajiri mafundi wa kawaida kumalizia japo sina hakika kama mhandisi anaweza kuchukua tenda ndogo.

Kuna mhandisi wa umeme utatakiwa kumpa zabuni ila ukikomaa vizuri unaweza kusave mil.100 japo inaweza isiishe kabisa lakini ikahamia na kuanza maisha yako huku ukiimalizia taratibu.

Majengo kama hayo yanakuwa na gharama kubwa endapo utakuwa unanunua vifaa vya ujenzi kwenye hardware za mitaani, ila kama utaamua kununua saruji kutoka kuwandani, nondo kiwandani, mabati/vigae kiwandani, vioo na frame zake kiwandani huku tofali ukazitengrneza mwenyewe gharama itapungua kuliko kununua kwa mawakala wa kati.

Nashukuru sana
 
pasi umasikini tu, hata miye ningelipenda nije kuwa na mjengo kama huo!

Ngoja tupige kazi huenda ikatokea hapo baadae!
 
Lote la nn hilo?Jenga nyumba ndogo ya maana ela inayobaki kula usubiri kufa.usingizi uleule.

Ni kweli kabisa Fiati,ajenge nyumba ndogo tu nzuri ya vyumba vichache ambavyo vyote ni SELF CONTAINED. Yaani iwe inajitosheleza kwa kila kitu. Asijenge nyumba ya kuishi ukoo mzima.
 
Uwe kwenye safe side uwe na milion 700.
 
Yan maisha utata sana bei y chumba inanisumbua sembuse kujenga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom