Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Esther Bulaya ajutia maamuzi yake

Mim nashangaa sana watu wanakoments wakiwa kwenye keyboard,hata bunda yenyewe hawaifaham ,wana koments tu kwa ushabiki kwa kuwa tu yuko chadema, hatakama wasira amechoka ,huyo dada hawezi pata ubunge hapa bunda ,bulaya ana kikundi chake cha vijana wanaompa joto hapo nyasura ,hawazid hata 50 ,na hapa miini ,kutoshinda kwa bulaya kunatokana na aina ya jamii iliyopo hapa bunda na mzee ameshaaotesha miziz ,mapaka huko kijijini ,ambapo mzee akiwapelekea kilo tatu ya skuri basi kura anayo ,ester ,huko kijijin amna anayemfaham, na ikumbukwe kuwa cdm bunda hawapo wamoja, kwa hiyo ile team ya uongozi iliyopigwa chini ikiongozwa na PIUS yote imepewa vitendea kazi na wasira kumtafutia wasira kura na kuhakikisha bulaya hashindi kamwe ,maana waliitwa wasaliti ili hali wao ndio ameijenga chadema bunda ,mark my words BULAYA hawezi shindi hapa bunda
Siko bunda lakini nimejifunza kitu kwenye hii coment yako naona kweli bulaya anakwenda kupoteza pamoja na kuwa nilitaka ashinde kwasababu aliwahi kuwa mpe.....nzi.......wangu ila hamna namna.
 
Acha kujishaua dogo
 
Ameonja joto la jiwe baada ya kukamatwavna kupelekwa Musoma.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bunda mjini kupitia CHADEMA, Esther ameonyesha kukata tamaa kutokana na kutoungwa mkono na wafuasi wa CHADEMA ambao pia wamekuwa wakimzomea kila anapopita.

Hali inaweza kupelekea Steven Wasira kushinda kirahisi katika jimbo hilo.

Nimetoka huko jana kwa kweli Mzee Wasira safari hii haponi, ila kumfariji kidogo sio mbaya mumuombe pia aache matusi kwa wapiga kura wake.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bunda mjini kupitia CHADEMA, Esther ameonyesha kukata tamaa kutokana na kutoungwa mkono na wafuasi wa CHADEMA ambao pia wamekuwa wakimzomea kila anapopita.

Hali inaweza kupelekea Steven Wasira kushinda kirahisi katika jimbo hilo.

Alidhani ataungwa mkono na wahuni wenzie kwa siasa zake chafu
 
Siko bunda lakini nimejifunza kitu kwenye hii coment yako naona kweli bulaya anakwenda kupoteza pamoja na kuwa nilitaka ashinde kwasababu aliwahi kuwa mpe.....nzi.......wangu ila hamna namna.

Mimi nimetoka huko jana nilitembelea vijiji vya Kiwasi, Kamkenga, Rwabu, Kangetutya, kabasa , kung'ombe, Nyasana na kumalizia Manyamanyama. Kwa ujumla Mzee Wasira anapumulia mashine ingawaje wanamsifu kwa kujua kudanganya na kuwatukana ambao amewashindwa pia amejenga uadui na wanaume kwa kuwambia wake zenu watanipa bila ufafanuzi.
 
Mim nashangaa sana watu wanakoments wakiwa kwenye keyboard,hata bunda yenyewe hawaifaham ,wana koments tu kwa ushabiki kwa kuwa tu yuko chadema, hatakama wasira amechoka ,huyo dada hawezi pata ubunge hapa bunda ,bulaya ana kikundi chake cha vijana wanaompa joto hapo nyasura ,hawazid hata 50 ,na hapa miini ,kutoshinda kwa bulaya kunatokana na aina ya jamii iliyopo hapa bunda na mzee ameshaaotesha miziz ,mapaka huko kijijini ,ambapo mzee akiwapelekea kilo tatu ya skuri basi kura anayo ,ester ,huko kijijin amna anayemfaham, na ikumbukwe kuwa cdm bunda hawapo wamoja, kwa hiyo ile team ya uongozi iliyopigwa chini ikiongozwa na PIUS yote imepewa vitendea kazi na wasira kumtafutia wasira kura na kuhakikisha bulaya hashindi kamwe ,maana waliitwa wasaliti ili hali wao ndio ameijenga chadema bunda ,mark my words BULAYA hawezi shindi hapa bunda

Pamoja nakutokujua siasa za bunda,ila wasira amekuwa kimya jimboni kwake tofauti na wabunge wengine.inaonyesha mzee anaona akitoka jimboni tu!atampa nafasi bulaya.
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bunda mjini kupitia CHADEMA, Esther ameonyesha kukata tamaa kutokana na kutoungwa mkono na wafuasi wa CHADEMA ambao pia wamekuwa wakimzomea kila anapopita.

Hali inaweza kupelekea Steven Wasira kushinda kirahisi katika jimbo hilo.

We ni muongo ma huo ni uzushi
 
Aisee hv yule mzee bado anataka kurudi bungeni hue da wakamuwekea kitanda awe anambonji kwny session za bunge
 
Back
Top Bottom