Recent content by Kidagaa

  1. K

    Suzuki carry 1999

    Msaada kwenye tuta. Nataka kuagiza gari Suzuki Carry ya mwaka 1999. CIF ni USD 2146 mpaka Dar. Je natakiwa nijiandae kodi na malipo mengine kama bei gani? Vipi nikiwa naweza pata exemption? Msaada wenu utanisaidia kufanya maamuzi sahihi. Nimeshindwa kabisaa kutumia kikokotoo cha TRA, Tafadhari...
  2. K

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Naona aibu kwani yeye ni mkuu wa mkoa ninakofanyia kazi (Rukwa)what a kilaza we have, Lol!!
  3. K

    Soko la SIDO (Mwanjelwa - MBEYA) linateketea kwa moto sasa hivi

    Wadau nimepigiwa simu sasa hivi kwamba soko maarufu la Mwanjelwa, mkoani Mbeya aka Jiji la Mbeya, eneo la SIDO karibu na uwanja wa ndege, sasa hivi linaungua moto. Chanzo hakijajulikana. Hii itakuwa ni mara ya pili baada ya lile la kwanza kuungua miaka michache iliyopita. Mwenye habari au aliye...
  4. K

    "DR" Shayo the plagiarist

    Can we give him a chance to respond to this issue? Mod mtafute aseme wazi kwa nini amefanya hayo yanayosemwa. Isije ikawa huckers wamefanya kazi yao (sheer apology) kumcook aonekane si kitu. Let give him a room if possible.
  5. K

    Profesa Maboko na Timu Yako; Kigezo Kikuu cha Kutoa Asilimia za Mikopo Kiwe Hiki

    Mawazo yako yanawalakini ukizingatia mfumo mzima wa elimu lakini pia mtandao wa shule za kata, je unajua kuna walimu wangapi wa hisabati tanzania? Je unafahamu kiasi cha upungufu wa vitabu? Je unajua kule vijijini hakuna vituo binafsi vya hata masomo ya ziada? Je unajua kwamba shule hata za...
  6. K

    Sasa tumefika kwenye fundo

    Inauma sana kuona yale yaliyo ya msingi yanaachwa kwa kupitishwa taratibu mbovu. Wengi tunadhani wakati wa mabadiliko ulikuwa sasa lakini bado tunao watu ambao wanafikiri nyuma ya wakati. La msingi sasa hatutakiwi kupoteza ufikirivu wetu, tuendelee kusema yaliyo ya ukweli na kutenda yaliyo sawia...
  7. K

    Kwa wasiomjua mh. Hamad rashid (mb)

    He kumbe huyo ndo Hamad? Tafadhari usiache hata chembe ya ukweli weka habari zake zote ili watanzania wamfahamu mtu huyu. Lakini usimuonee au kumfanyia fitina, ukweli ubaki kuwa ukweli.
  8. K

    Ndege yaanguka sumbawanga

    Ndugu zangu naomba niwahabarishe kwamba ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu wanne imeanguka mara baada ya kupaa kutoka katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga, leo mnamo saa kumi kasoro jioni. Kizuri ni kwamba wote waliokuwemo wamepona. Chanzo cha ajari hakijawekwa wazi. Ndege hiyo yasemekana...
  9. K

    Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

    Labda anaona mambo mnayoyafanya yaleyale, style(namna) ya kufanya ileile, huna ubunifu mzee! lakini ni labda, labda, labda! Hebu jicheki kuona kama unajipya.
Back
Top Bottom