Recent content by kidadike

  1. kidadike

    JamiiForums Tanzania Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

    Kumbe maoni yake ni Kwa sababu ya Chuki Kwa Mheshimiwa basi hakuna haja ya lockdown lakini kama ni Kwa ajili ya Usalama wa watanzania basi kuna haja ya kutafakari na sio kupiga kelele
  2. kidadike

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Tuchukue tahadhari kama wataalam wanavyoelekeza lakini Mungu ibaraki Tanzania
  3. kidadike

    JamiiForums Tanzania Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

    Pole sana Mkuu punguza pressure na believe in your self tumia asali, mdalasini na vitunguu swaumu bila kusahau boresha Mlo inachukua muda kuwa na uvumilivu tu pia jifunze namna bora ya kutumia hizo vitu
  4. kidadike

    JamiiForums Tanzania Wanaume Single mnasubiria nini?

    Ni vizuri umejua kwamba wanaweza kufanya kazi zote swali hapo ndio utatambua ndoa ni zaidi ya kupika na kufua jiongeze
  5. kidadike

    JamiiForums Tanzania Rais Anapokubali Awakilishwe na Wahuni na Watekaji Havunji Maadili ya Taasisi ya Urais?

    Mada Imeanza ukisikiliza mazungumzo ya Lema na sabaya we unajadili lema alienda hai kufanya nini bila Shaka hujui ulichokiandika
  6. kidadike

    JamiiForums Tanzania Endapo Chadema kitapata wenyeviti walau 10 wa serikali za mitaa 24/11/2019 jijini Dsm basi chama hicho hakitakufa karibuni

    Ni kweli Kwa sababu Kwa sababu chama chenu kinaruhusiwa kufanya kampeni na siasa wakati wengine wakikaaa hata kikao cha ndani ni shida
  7. kidadike

    JamiiForums Tanzania Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

    Tuache majungu.. mbona haujatoa takwimu kuhusu uwekezaji alioufanya Kwa harmonize na amevuna nini mpaka sasa hiyo ni biashara kama biashara nyingine
  8. kidadike

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wadada kujifanya wapo nje ya nchi wanataka wachumba mbona linaongezeka sana, kuna nini??

    Most ni wanaume jichanganye uone moto wake
  9. kidadike

    JamiiForums Tanzania Kipilimba alistahili alichopata leo, wanaomwonea huruma wanasahau haya

    Watetezi wa propaganda
  10. kidadike

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Nani alaumiwe sasa
  11. kidadike

    JamiiForums Tanzania Huyu mama ananilipa ili nimzamie chumvini

    Jamie forum from 2013 na kuendelea hongera
  12. kidadike

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Fare well
  13. kidadike

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    Ndio shingap hiyo
  14. kidadike

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa waziri Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa 2020- Dkt. Bashiru Ally

    Waziri wa wapi na nini huyo sijawahi kumsikia
  15. kidadike

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya ngono ya Amber Rutty kusambaa mitandaoni, BASATA yakana kumtambua

    Kwani kesi yake inaendeleje maana Kama wema alipata alikomaliwa vile huyu ilibidi awe ndani
Back
Top Bottom