Recent content by kidadari

  1. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya kale 13,000 yafukuliwa Sanxingdui nchini China

    Duuh wachina bhana
  2. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Maliasili na Utalii: Loliondo, Grumeti nk.

    Deal as usual
  3. kidadari

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Duh
  4. kidadari

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

    Yana mwisho hata kama sio leo wala kesho
  5. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Hii habari ina porojo nyingi sana...sababu kama 7000 hivi
  6. kidadari

    JamiiForums Tanzania Russia yepeleka msiba Australia: Muaustralia auawa pamoja na wanajeshi kadhaa wa Zelensky nchini Ukraine

    Huyo sniper aje kupambana na M23 huko Congo
  7. kidadari

    JamiiForums Tanzania Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong kufunguliwa mwezi Julai

    Wanataka kulipa Taj Mahal?
  8. kidadari

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson calls for Ukraine to be sent more long-range rocket systems(MLRS)

    Ukraine ishakua uwanja wa kujaribia silaha kama ilivyo Syria libya na Iraq.....hayo mengine ni porojo tuu....usa hataki kabisa kujiingiza 100%kwenye hii vita maana anajua majibu yake yatakua hayavumiliki
  9. kidadari

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson calls for Ukraine to be sent more long-range rocket systems(MLRS)

    Ukraine ishakua uwanja wa kujaribia silaha kama ilivyo Syria libya na Iraq.....hayo mengine ni porojo tuu....usa hataki kabisa kujiingiza 100%kwenye hii vita maana anajua majibu yake yatakua hayavumiliki
  10. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Yalikua maamuzi sahihi. Imagine umemkataza hajasikia na kaondoka show hua ni usiku mnene...unabaki na mawazo ya kinachoendelea . Mara nyingi ukipiga cm hapokei au anazima cm kabisa. Hasira zake akirudi usipime kabisa
  11. kidadari

    JamiiForums Tanzania Beijing: China imefunga anga lake kwa ndege za Urusi aina ya boeing na Airbus

    Hawa wanacheza mchezo tuu mzigo unaandaliwa kwenda Taiwan
  12. kidadari

    JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yadakwa na Marekani

    Majibu yanakuja soon
  13. kidadari

    JamiiForums Tanzania Ndege kupotea Selous na kutopatikana inamaanisha nini?

    Inatukumbusha ile ya Malaysia MH-370 iliyoleta kizazaa duniani
  14. kidadari

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutumii treni kusafirisha mafuta?

    Kuwe na mtandao wa mabomba toka bandarini mpaka kila mkoa???
  15. kidadari

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates kuhusu mikopo ya Mabenki

    Kuchomoka kwenye mikopo ya bank ni jambo gumu sana....linahitaji mkakati wa kweli
Back
Top Bottom