Ndege kupotea Selous na kutopatikana inamaanisha nini?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,551
44,704
Katika uwasilishaji wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2022/2023 mMh.Waziri barawa(MB) alipata kusema kuwa ilitokea ajali mbili za Ndege moja ikiwa ni ndege ndogo inayomilikiwa na Kampuni ya PAMS Foundation ya mkoani Arusha ilipotea ikiwa na rubani kati ya Matemanga wilayani Tunduru na Kingupira kwenye hifadhi ya Selous na ilitafutwa kwa siku 28 bila mafanikio.

Katika fikra zangu najiuliza maswali mengi inawezekanaje mahali ndege ilipopotelea pajulikana halafu isipatikane. Nalifahamu pori la Selous na hata Wilaya ninayoishi nimepakana nalo lakini je kweli Serikali na utalaam wote ishindwe kupata hiyo ndege kwanini?i Ingekuwa baharini kweli tungesema sawa hata isipopatikana lakini msituni tu ina maana hakuna vyombo maalumu vya kutrace mavitu ya chuma yaliyopo porini?
 
Jibu unalo sema Tu unajaribu kushupaza shingo kuukataa ukweli
 
Watu walifaulisha mzigo ikasepa mazima
 
Inawezekana walichelewa kwenda kuitafuta wakakuta imeishaliwa na wanyama!
 
Jibu gani ninalo kwamba selous Kuna Giza nene Sana au miti mikubwa mno Kama Amazon ama Kuna shimo refu Sana na ndipo ilipopotelea?
Mkuu ulivyoambiwa ukweli unao ila unasimika kichwa chako mchangani, serikali ya chama dola ndio iliyotufikisha hapa,wao ni kukimbizana na posho tu, uwekezaji unaoendana na wakati hawana,ndege isingepotea selous game reserve kama vyombo na utaalamu tungekua navyo, Botswana kwenye freeways zao zinazopita kwenye mbuga za wanyama wamejenga airstrips nyingi tu pembezoni mwa barabara kuu,na zimewasaidia mno kukitokea emergency rubani anaitafuta freeways na kutua hapo, tulichokifanya sisi mikumi national park ni kujenga matuta ya ajabu na matangazo kibao ya vitisho ukigonga mnyama!
 
Katika uwasilishaji wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 2022/2023 mMh.Waziri barawa(MB) alipata kusema kuwa ilitokea ajali mbili za Ndege moja ikiwa ni ndege ndogo inayomilikiwa na Kampuni ya PAMS Foundation ya mkoani Arusha ilipotea ikiwa na rubani kati ya Matemanga wilayani Tunduru na Kingupira kwenye hifadhi ya Selous na ilitafutwa kwa siku 28 bila mafanikio.

Katika fikra zangu najiuliza maswali mengi inawezekanaje mahali ndege ilipopotelea pajulikana halafu isipatikane. Nalifahamu pori la Selous na hata Wilaya ninayoishi nimepakana nalo lakini je kweli Serikali na utalaam wote ishindwe kupata hiyo ndege kwanini?i Ingekuwa baharini kweli tungesema sawa hata isipopatikana lakini msituni tu ina maana hakuna vyombo maalumu vya kutrace mavitu ya chuma yaliyopo porini?
Ama unataka kutuambia ndege ilipigwa tiktaka!
 
UFO
 
Back
Top Bottom