Beijing: China imefunga anga lake kwa ndege za Urusi aina ya boeing na Airbus

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Wizara ya Usafirishaji na Miundombinu Nchini Uchina imezipiga Marufuku ndege za Urusi Aina ya Boeing na Airbus Kupita kwenye Anga la China kwasababu za Kiusalama.

Hii inakuja baada ya Shirika la ndege la Urusi Kuzitaifisha ndege zilizokodiwa kutoka Makampuni ya Ulaya na Marekani Aina ya Boeing na Airbus Kama njia ya kulipa kisasi Cha vikwazo vya nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wake Nchini Ukraine.

Serikali ya China inahofia Usalama wa ndege Hizo zaidi ya 500 zenye thamani ya $ 11B baada ya Nchi za Magharibi kusema zitasitisha huduma za kitaalam kwa ndege Hizo na Kuzuia Vipuli vya ndege Hizo kwenda Nchini Urusi.
===

China is prohibiting Russian Boeing and Airbus aircraft owned by foreign leasing companies from flying through its territory.

According to the Russian news outlet RBK (RBC Group), the ban affects equipment whose legal status has not been confirmed following Western sanctions as a result of Russia’s invasion of Ukraine and their re-registration in Russia.

According to the report, China has requested proof that the aircraft in question are no longer registered outside of Russia. The sanctions imposed by the West in response to the Russian invasion of Ukraine on February 24 provide context. Because of the military assault authorized by the Kremlin, the EU and the US have banned the supply, maintenance, and insurance of civilian aircraft and spare parts to Russia.

Western leasing companies that have terminated their Russian contractors own a large portion of Russia’s air fleet. Moscow, for its part, has refused to return the planes and has re-registered them without delay.

In May the Chinese aviation authorities asked all airlines, not only Russian ones, to update electronic dossiers (portfolios; they contain information about aircraft, owners of airlines, and ground handling contracts). Requesting such portfolios is a standard procedure. But according to RBK, the procedure has been recently amended in China.

According to RBK, the airlines have been unable to produce such documents. This is why the Chinese aviation authorities, observing the international air law, denied the flights of such planes.

Credit: AirWays Magazine
 
Hawa wanacheza mchezo tuu mzigo unaandaliwa kwenda Taiwan
Kuna tofauti kubwa Kati ya Taiwan na Ukraine. Ukraine anashindwa Kupewa Silaha nzito za Mashambulizi kutoka Marekani kwasababu hawana utalaam wa Kuzitumia.

Kwa upande wa Taiwan Ni Tofauti kabisa,Taiwan inamiliki zaidi ya ndege 50 za Marekani Aina ya F-16(Ukraine Hana hata moja,Anatumia Mig na Sukhoi za Urusi kupambana na Urusi,ndio maana Urusi anazitungua na kuzima Radar zake make kazitengeneza yeye mwenyewe). Juzi,Taiwan imefanya Drills zake kutest Makombora ya Kimarekani Aina ya STANDARD MISSILES (SM-6). Hizi zinatungua Meli Warship umbali wa 100Km. Sasa Kama China inataka Kuzamisha Meli zake Basi ajaribu kujikuna,Maafa kwa China yatakuwa Makubwa hata Kabla Marekani haijaingilia Kati. Ule Ukanda wa Taiwan utaandika Historia kwa kuwa Kichinjio Cha Meli za China.

Taiwan Ina Air Force yenye Ndege za Kivita 450(Ukraine alikuwa na Air Force ya ndege 120 za Sukhoi na Mig ambazo zimeshachoka make Urusi aliinyima Spair Parts tangu mwaka 2014),Taiwan Ina Navy yenye Meli 35 za Kivita Aina ya Destroyer(Ukraine haikuwa na Navy kabisa,Ilikuwa na Patro Boats TU ambazo zinafungiwa Mashine Guns Kama zile za Iran). Taiwan Ina Land Army ambayo imeshiriki mazoezi ya Kijeshi tangu mwaka 1949( Ukraine imeanza Kufundisha na Uingereza baada ya Vita vya Crimea mwaka 2014).

China anaitamani Sana Taiwan lakini anaona Kina kirefu Sana. Kiufupi China inaelekea kuchelewa kwa maana baada ya Vita vya Ukraine kila Nchi imeanza kuona umuhimu wa Jeshi Imara badala ya kutegemea msaada. Mpaka Sasa,Taiwan imeweka Order ya kununua ndege 70 Aina ya F-22 kutoka Marekani,Congress ya Marekani bado inachelewesha.
 
Taiwani ni sehemu ya china
 
Marekani anachoangalia ni biashara tu, anawaviruga halafu yeye anaendelea kuwauzia silaha huku akiwaangalia kwa tv.
 
Mkuu ni kweli lakini haujaangalia Upande wa China una silaha gani!
 
Kina kirefu sana kile
 
US waende wakawasaidie UKRAINE kutumia silaha wasizoweza waache kuwafanya wenzao wapuuzi
Walienda kumsaidia KUWAIT dhidi ya IRAQ ila huyu UKRAINE wanamuacha ukiuliza sababu eti sio NATO
Walienda eti kuwasaidia waliowaita raia dhidi ya rais wao wenyewe ila wanamuacha UKRAINE dhidi ya kipigo kutoka nje
TAIWAN nae akipigwa atapigwa na hakuna litalotokea
US KOWAD pamoja na shosti zake hawana lolote zaidi ya nderemo na vifijo kama wapo harusini
Tunaomba rank ya strength ya majeshi kati ya UKRAINE na TAIWAN kama hutojali lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wizara ya Usafirishaji na Miundombinu Nchini Uchina imezipiga Marufuku ndege za Urusi Aina ya Boeing na Airbus Kupita kwenye Anga la China kwasababu za Kiusalama.

Hii inakuja baada ya Shirika la ndege la Urusi Kuzitaifisha ndege zilizokodiwa kutoka Makampuni ya Ulaya na Marekani Aina ya Boeing na Airbus Kama njia ya kulipa kisasi Cha vikwazo vya nchi za Magharibi baada ya Uvamizi wake Nchini Ukraine.

Serikali ya China inahofia Usalama wa ndege Hizo zaidi ya 500 zenye thamani ya $ 11B baada ya Nchi za Magharibi kusema zitasitisha huduma za kitaalam kwa ndege Hizo na Kuzuia Vipuli vya ndege Hizo kwenda Nchini Urusi.

Si tuliambiwa Uchina na Russia ni damu moja
 
Kuna tofauti kubwa Kati ya Taiwan na Ukraine. Ukraine anashindwa Kupewa Silaha nzito za Mashambulizi kutoka Marekani kwasababu hawana utalaam wa Kuzitumia.

Kwa upande wa Taiwan Ni Tofauti kabisa,Taiwan inamiliki zaidi ya ndege 50 za Marekani Aina ya F-16(Ukraine Hana hata moja,Anatumia Mig na Sukhoi za Urusi kupambana na Urusi,ndio maana Urusi anazitungua na kuzima Radar zake make kazitengeneza yeye mwenyewe). Juzi,Taiwan imefanya Drills zake kutest Makombora ya Kimarekani Aina ya STANDARD MISSILES (SM-6). Hizi zinatungua Meli Warship umbali wa 100Km. Sasa Kama China inataka Kuzamisha Meli zake Basi ajaribu kujikuna,Maafa kwa China yatakuwa Makubwa hata Kabla Marekani haijaingilia Kati. Ule Ukanda wa Taiwan utaandika Historia kwa kuwa Kichinjio Cha Meli za China.

Taiwan Ina Air Force yenye Ndege za Kivita 450(Ukraine alikuwa na Air Force ya ndege 120 za Sukhoi na Mig ambazo zimeshachoka make Urusi aliinyima Spair Parts tangu mwaka 2014),Taiwan Ina Navy yenye Meli 35 za Kivita Aina ya Destroyer(Ukraine haikuwa na Navy kabisa,Ilikuwa na Patro Boats TU ambazo zinafungiwa Mashine Guns Kama zile za Iran). Taiwan Ina Land Army ambayo imeshiriki mazoezi ya Kijeshi tangu mwaka 1949( Ukraine imeanza Kufundisha na Uingereza baada ya Vita vya Crimea mwaka 2014).

China anaitamani Sana Taiwan lakini anaona Kina kirefu Sana. Kiufupi China inaelekea kuchelewa kwa maana baada ya Vita vya Ukraine kila Nchi imeanza kuona umuhimu wa Jeshi Imara badala ya kutegemea msaada. Mpaka Sasa,Taiwan imeweka Order ya kununua ndege 70 Aina ya F-22 kutoka Marekani,Congress ya Marekani bado inachelewesha.
USA ni nchi ya ajabu kweli kumbe jamaa Wana long plans za ajabu kuhusu hii Dunia .Wameanza na vita ya Ukuraine vs Rusia na baada ya kumpindua Putin na kuigwanya Rusia ili izif kuwa weak na hatimae wachukue mafuta,ges na madini kituo kinachofuata ni kuimakiza China kwa kimtumia Taiwan na yenyewe itagawanywa na kuimaliza kiuchumi kabisa na baada ya hapo atakaefatwa n Iran .Kuna makala nilisoma miaka mitano iloyopita unaweza kuzani ni ndoto kumbe ni kweli .Na master planer ni akina Hener Kissinger.
Wanataka mashariki ya kati Taifa lenye nguvu libaki Israel tu.
 
Washafail tayari...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina anaogopa boss wake US atampasua

Urusi kaacha kuwa supa pawa? Anazo ndege za Boeing na Airbus.
 
Back
Top Bottom