Recent content by kichwili

  1. kichwili

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Mzee mwanakijiji umenena ya kweli hapo, hii issue ya ufisadi/ufujaji wa mali za umma inaniuma sana na siyo kwamba naona wivu eti so and so ana mali nyingi ni kwamba nikitembea pande nyingine duniani napata picha tofauti sana jinsi wanainchi wanavyoishi na kutawaliwa. Kinachouma zaidi ni uhaba wa...
  2. kichwili

    Uganda Ebola outbreak

    mhe. king'asti quarantine kitu gani? hii ni kama disaster yoyote nyingine inayoinusuru nchi yetu( assuming tutanusurika this time pia) yaani kudra za mungu tuu, wengine watasema kunywa kikombe eti imani ni tiba. Inasikitisha ya kwamba kuna mtu kibao in "sina habari" mode right near the border...
  3. kichwili

    Uganda Ebola outbreak

    mungu alaze roho za waathirika mahali pema peponi, kusema kweli ebola si utani kinachotisha ni how close uganda is to tz halafu udhaifu wa disaster response teams zetu or lack thereof. Nakumbuka miaka ya 90 na kitu nilikuwa nasoma sekondari hapo Dar, ebola ikazuka Zaire ikaleta wimbi la...
  4. kichwili

    Uchumi wa Marekani hoi

    Acha dharau wewe, hii kitu nchi za watu ni business cycle tu, yaani mzunguko wa biashara miaka nenda rudi, kuna nyakati biashara ni nzuri na kuna nyakati biashara inakuwa balaa. Hii business cycle inaruhusu wajanja kununua bidhaa kama vile miundombinu nk kwa bei rahisi maana mfanyabiashara...
  5. kichwili

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    hii issue inasikitisha saaaana, mi naunga mkono kulaani hili dili maana ni yale yale tangu enzi zile. Lakini tukiangalia kwa makini nani ana uwezo wa kuing'oa CCM? Sisemi kama mtu aliyetumwa bali naangalia hali halisi yaani "current circumstance" sipati picha CCM ikiachia ngazi bila fujo au...
  6. kichwili

    EU targets aid to gas-rich Mozambique, Tanzania- - - Vicheche vimeanza kujitokeza

    (Reuters) - Senior EU officials began a three-day visit to Mozambique and Tanzania on Thursday as the European Union looks to bolster aid and development in a rapidly growing region of Africa that sits on vast reserves of offshore gas. European Commission President Jose Manuel Barroso and...
  7. kichwili

    Is this the future of Tanzania land?

    haya ni mazingaombwe with no end, ni mfumo ule ule wa kikoloni ambao hayati Nyerere alituonya yaani "neo colonialism".
  8. kichwili

    Ufisadi wa kutisha kupitia kampuni ya AGRISOL: Serikali, Iddi Simba na Lawrence Masha wanahusika

    US firm faces Tanzania land grab accusations Sunday, 15 July 2012 11:22 A peasant tends her crop in Tanzania. A major US energy company, AgriSol Energy, is accused of engaging in land grabs in Tanzania. photo | FILE Washington, Saturday. A major US energy company, AgriSol Energy, is...
  9. kichwili

    Interpol’s Dubai link in TZ animals scam

    Hii sakata naona haitaki kuisha, i really dont know how low we as Tanzanians can fall, lakini haki ya mungu bongo kila kitu ni dili tu. Naomba watu wenye info on the ground watu-update basi, yaani bila hii JF kuna mambo mengi yasingelijulikana hata. Sasa kama twiga ni dili, hiyo gesi...
  10. kichwili

    Dar wins uranium battle

    haki ya nani sijui tanzania tunaenda wapi, kila leo ni aibu moja baada ya nyingine when will it end? Namhurumia mtu yeyote atakayeajiriwa katika huu mgodi, labda tufanye case study ya radiation levels ya wafanyakazi alafu mtabaki shangaa. Jamani hii uranium ni mafuta ya mitambo kama ile ya...
  11. kichwili

    Dar wins uranium battle

    yarabi toba! Are yuu sirius? Hivi mnaona hii kitu ni kama utani ama? Ebwanaee athari za uchimbaji wa uranium zinatisha, tafadhali sana kama hujapata habari ukagoogle "effects of uranium mining" halafu mje tujadili zaidi kuhusu hii anasa. Ni dhahiri kwamba kuna nguvu fulani yaani powers that be...
  12. kichwili

    Thanks to Barrick Gold operations: 70 Billions lost in bad mining contracts, Tanzania suffers

    kweli wajinga ndio waliwao! Angalau hao viongozi wanaosign hiyo mikataba batili wangejinufaisha kiukweli, sio kupokea vijisenti halafu mzungu anafaidi kinoma, yaani hakuna akili kabsaa, cha kushangaza zaidi bado mnawapa kura. Unajijua mwenyewe ingawa bado hujapata pilau au shati la ccm, ulipiga...
  13. kichwili

    Singida yauzwa rasmi kwa mafisadi

    dearest faiza foxy, wazo lako kweli ni zuri kuhusu uwekezaji na maendeleo kwa ujumla, in most of the world, people get "relocated" from time to time for one reason or another and by doing so receive "fair" compensation, in the US kuna kitu kinaitwa "imminent domain", hii kitu ni sera ya serikali...
  14. kichwili

    Kamati ya bunge yaitimua TCRA

    hapo kaka umesema kweli kabsaa, yaani hao jamaa TCRA wangelikata kitu kidogo, dili lisingeshtukiwa
  15. kichwili

    TCRA yasomesha watatu kwa Sh 2.2 bilioni

    kweli wajinga ndio waliwao, yaani utafikiri ni epidode ya "vitimbi"maanake miaka nenda rudi, story ni ile ile "oooh wajanja wamechangamkia dili, serikali itafanya nini?" lakini ndugu zangu nakwambieni ya kwamba ole wako uliepigia kura ccm alafu unalalamika jinsi hali ilivyo, umejitakia mwenyewe...
Back
Top Bottom