RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI NA TANO
Hakuwa mvutaji hata wa sigara. Lakini hakuruhusu hata kukohoa. Alijua kukohoa tu ataonekana dhaifu mbele ya watu wale. Safari isiyojulikana ilifika mwisho. Ilikuwa nje kidogo ya...
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI NA NNE
Daniel hakusubiri.
Alichukua lile begi lenye laptop na kutoka nalo nje akiwa anakimbia. Akitafuta hotel salama na kujifungia ndani peke yake.Tayari kuifungua ile laptop yenye siri...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI NA TATU
ILIPOISHIA JANA...
Avast anaenda Dar es salaam kesho kuifata laptop yenye siri nzito. Daniel anaenda Dar es salam kesho kuifata laptop hiyo hiyo yenye siri nzito! Wasakana! Watakutana Dar es...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA JANA
Alikufa kifo kinachofanana na cha Mayasa!. Alikufa kifo kinachofanana na cha Raiya ! . alikufa kifo kinachofanaa na cha afande John. Yule jamaa nae alivuka ngozi! Kumbe yule...
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA KUMI
ILIPOISHIA JANA
Abdul nae alianza kutetemeka mwili mzima kwa hofu. Alimwangalia Daniel kule nyuma ya mlango, alimshangaa hakuwa na hofu kabisa mwanaume yule !. Kwa hakika Daniel hakuwa...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA JANA...
Itakuwa ni kundi moja kama siyo muuaji mmoja. Lakini awe mtu kiwe kikundi nitahakikisha hafanyi mauaji mengine ya raia wema !" Alisema kwa uchungu mkubwa Daniel. Waliondoka pale...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA JANA...
Maiti yake iliokotwa asubuhi katika uwanja wa mpira wa chuo ikiwa haitamaniki! Ngozi iliokotwa upande wa goli la kaskazini. Kiwiliwili kisicho na ngozi kiliokotwa karibu na goli la...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757 633010
CHUKI ni kitu kibaya sana. Siku zote chuki ina matokeo mabaya kwa wote, anayechukia na anayechukiwa. Tuache kuikumbatia chuki moyoni mwetu, kuikumbatia chuki moyoni ni sawa na kulikumbatia kaa la moto katikati ya...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
SEHEMU YA SITA
Mpende sana mama yako. Tuwaheshimu mama zetu. Tuwajari sana. Usimdharau hata siku moja mama yako. Mama ni kila kitu katika maisha. Ukimdharau mama basi ni sawa na kuitafuta laana kwa nguvu. Tuwaombee sana mama zetu kwa...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
WHATSAPP: 0757 633010
SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA JANA.....
Walimaliza kuongea na Mayasa saa nne usiku. Walikodi gari iliyowarejesha Arusha mjini. Sasa Abdul alihamia himaya mpya. Himaya ya Mayasa, alimkabidhi kila kitu Mayasa kuhusu maisha...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI:HALFANI SUDY
SIMU 0674395733
WHATSAPP 0757633010
Sehemu ya Tatu
ILIPOISHIA JANA
" Sasa Abdul mimi nitakupa hela"
"Nitashukuru sana yaani dada yangu"
"Lakini kwa sharti moja tu"
"Nipo tayari kufuata sharti lolote Raiya"
"Kweli ?"
"Kweli nakwambia"
SONGA NAYO SASA...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI:HALFANI SUDY
SIMU 0674395733
WHATSAPP 0757633010
Sehemu ya Tatu
ILIPOISHIA JANA
" Sasa Abdul mimi nitakupa hela"
"Nitashukuru sana yaani dada yangu"
"Lakini kwa sharti moja tu"
"Nipo tayari kufuata sharti lolote Raiya"
"Kweli ?"
"Kweli nakwambia"
SONGA NAYO SASA...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757633010
SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA JANA
"Tunaweza kuonana baadae sehemu tofauti na hapa?"
"Bila shaka"
WalibadiLishana namba zao za simu palepale kwenye foleni. Zoezi la usajili lilichukuwa saa zipatazo tano.
Hatimaye Abdul...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
Whatsapp 0757 633010
Sehemu ya Kwanza.
Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya jiji la Arusha, jiji lilipo kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Jumatatu iliyoanza kwa manyunyu ya mvua na radi kidogo katika Jiji hilo la Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.