Me nashangaa sana wizara ya afya. Yàani weekend wanalala hakuna cha takwimu wala nini as if ikifika weekend na Corona nayo inalala.
Kwenye kupambana na Covid-19 mpaka sasa serikali imeonesha weaknesses nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda kweli anachekesha
Hizo barakoa ziko wapi??
Wametumia mbinu gani kuhakikisha watu wa low class wanazipata kwa bei nafuu
Hivi kanga na leo ni barakoa?
Anatumia akili kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.