Recent content by Kicheruka

  1. K

    Serikali, tuzike watakaopeteza Maisha kutokana na COVID19 kwa heshima. Utaratibu uwekwe wazi

    Uwepo uwazi na marehemu wazikwe kwa hashima hata kama ndugu wawili wataruhusiwa kuhudhuria
  2. K

    DSTV wamepandisha tena

    Huu ni wezi na hawa TCRA sijui kwanini hawaregulate bei za ving'amuzi. Wamekaa kimya kila siku DSTV ikiendeleza unyonyaji
  3. K

    Maandamano ya wanavyuo kuelekea nyumbani kwa Lowassa

    Duuuhhh, Watanzania bado kabisa kuelimika hawa ndio wanaojiita wasomi wa nchi hii wamesoma na kutafakari historia ya Lowasa wameamua kujilipua na kuzidi kuongeza umaskini na rushwa kwenye nchi hii. Washihili husema "Wajinga ndio waliwao" Hawa watu wakifanikisha kumpitisha huyu mla rushwa na...
  4. K

    Usipande DCM za Sinza-Gmboto kama mjamzito utazaa Njiani

    Wewe na abiria mliokuwemo humo ndio wenye matatizo utamwachache dereva anawarusha hovyo, ikitokea ajali nyie ndio mnaanza kulamumu polisi wakati nyi wenyewe mnauwezo wa kumuonya asiendeshe hovyo na asipotii anyo lenu simu lukuki za polisi zipo ni kuchukua hatua muafaka
  5. K

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  6. K

    Tafadhali wadau naomba mnisaidie 5m Tshs nikakomboe hazina

    Wizi wa ki-nigeria, moderator Ondoa hii kitu na piga burn aliyeleta topic
  7. K

    Roho mtakatifu kuwashukia watanzania 2015?

    Wewe Salumu sikujui tafadhatafadhali acha kuleta upuuzi wako kwa kukashifu dini za watu, kama huna cha kuandika kaa kimya kuficha upuuzi wako
  8. K

    Taarifa kwa vyombo vya habari

    Nonsense
  9. K

    Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

    Yakhee umenena yahkeeeeeee
  10. K

    Edward Ngoyai Lowassa; Huu ni waraka wangu kwako na kwa watanzania wenzangu

    Nakubaliana na wewe kwa 50% na 50% sikubaliana kabisa na ulichoandika, kushusu Lowasa ni kweli hafai na ajitafakari na ajipime na kukaa pembeni kwanza hana sifa na busara ya uongozi zaidi ni selffish yeye na makundi yake kufikiria kunyonya watanzania na kujitajirisha. Kuhusu CCM kendelea...
  11. K

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Inasikitisha sana, RIP Dr. Sengondo Mvungi
  12. K

    Nadharia tatu zitakazo mtoa Lowassa kwenye mbio za urais-2015

    Umenena, binafsi nashangaa sana kila leo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni Lowasa na urais 2015. Record zake zinajulikana na ziko wazi hata Nyerere tuanyemuenzi alimkataa tena wakati huo kabla hata ya skendo yake ya Richmond. Nafikiri sisi kama watanzania inafikia wakati...
  13. K

    Nyumba inauzwa Kunduchi-salasala

    Ipo Salasala ipi? Weka picha
  14. K

    Mwenge-Tegeta Road: Poorly designed, poorly constructed! Nani awajibike?

    Hii barabara ni majanga na aibu kubwa hao wahandisi wa TANROADS wamekalia ufisadi tu wanazunguka nchi za wezetu kuna barabara zenye design nzuri ajabu halafu wanakuja kuleta vioja yaani sehemu zote kungia upande wa pili ni majanga kuanzia hapo Tanki bovu, maenea ya karibu na engeni, kungia...
Back
Top Bottom