Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

Membe akalia bilioni 200 za Zanzibar

Kama ni mtu baki kwa jinsi wanavyotaka kutuaminisha mbona wameshindwa kumu-bypass na kwenda kuchukua hizo billion 200 wanazozipigia kelele.

Nchi yenyewe mapato kwa mwaka ni Tsh billion 240 (2013/14) halafu wanasema msaada ni Tsh billion 200.

Kumbe haka Kanchi Rostam anaweza kukanunua au kukalisha kwa Miaka Kadhaa.
 
Ushirikiano wa Kimataifa uliingizwa kwenye Muungano baada ya Zanzibar kutaka kujiunga OIC? Nani alikuwa Waziri wa mambo ya nje (Kimataifa) wa Zanzaibar wakati inajiunga na OIC, na uwaziri wake ulikoma lini? Hivi vituko vitaisha lini?

Wazanzibari wanalalamika sana kuhusu kunyonya na kutaka waachwe wapumue, lakini inashangaza hakuna mtu anayetamka wazi wazi Muungano uvunjwe, kwanini? Kwa nini hawawapigi marufuku wabunge wao wasipande boti kuja kwa 'wanyonyaji?
 
Afadhali umeona uongo na uzandiki wa wazanzibar.

Kama ni mtu baki kwa jinsi wanavyotaka kutuaminisha mbona wameshindwa kumu-bypass na kwenda kuchukua hizo billion 200 wanazozipigia kelele.

Nchi yenyewe mapato kwa mwaka ni Tsh billion 240 (2013/14) halafu wanasema msaada ni Tsh billion 200.
 
Kwanza tunatoa wito kwa hawa TAKUKURU na VYOMBO vya USALAMA, isiwe mnawaonea haya na kuwaogopa kuwakamata waliokuchaguweni badala yake mnawakamata eti TRAFFIC kapokea rushwa 2,000. Afisa wa uhamiaji kapokea rushwa 20,000. Mfanyakazi wa shirika la umeme kala rushwa 50,000. SO WHAT?

Kiukweli utawala wa DR. SALMIN AMOUR, umekula umeiba pesa nyingi za serikali ya mapinduzi ya znz wakiwemo waziri wa fedha, katibu mkuu wizara ya fedha, kamishna wa bajeti, katibu wa rais, na Rais mwenyewe.

Utawala wa DR. AMANI KARUME, ndio umeiba pesa zaidi za serikali ya mapinduzi ya znz wakiwemo, mwenyewe KARUME, mama ake mzazi, watoto wake, katibu wake maalim mussa, shemegi yake mansour, na omar king. Na wengi wapo mawaziri na makatibu wakuu, kama Haji Omar kheri ameuza mpaka maskani ya darajani taxi stand opposite duka la vioo, amemuzia Muheshimiwa JAKU.

Sasa kwa upande wa serikali ya DR. SHENI, wanaoendeleza wimbi la wizi wa pesa za SMZ ni waziri wa fedha, katibu mkuu wizara ya fedha, naibu katibu mkuu wizara ya fedha. Huyu waziri wa fedha hafai ni mwizi sana, kwa ushahidi katizameni kwenye kampuni ya TURKEY ( VIGOZ) waziri anawapa EXAMPLED kwenye Bidhaa ya saruji na badala yake saruji hiyo inauzwa INCLUDE VAT kwa wananchi, tulivyokuwa wajinga tunawaumiza wananchi wetu na tunawatajirisha wahindi halafu wanatunyanyasa, watu wapo hapa kwa maslahi yao sio kwa ajili ya wananchi wao. Wananchi wa zanzibar mnatakiwa muwe na akili timamu hakuna CUF hakuna CCM Wote wizi tu, na nchi hii haiwezi kwenda tusidanganyane, hali ya uchumi wa zanzibar ni mbaya sana, serikali haina mipango, serikali haina dira, ipo kwa maslahi yao binafsi sio kwa maslahi ya wananchi, kila anaekuja huchukua chake na kuondoka. Kama nasema ya uongo haya, hebu niambiwe tokea alipokufa RAIS WA KWANZA MZEE ABEID AMANI KARUME, nani amefanye mambo kama ya MZEE KARUME? BAdala yake viwanda vimekufa, nchi imedidimia na bado itazama hasa.

Leo nchi nzima inategemee utalii, tuseme wazungu wakisema hatuji tena zanzibar kwa utalii, tutafanya nini? hata akili hatuna ya mipango ya uchumi, hii nchi yenyewe hata kujitangaza nje inashindwa inasema haina pesa, sasa kwa taaifa yenu wawekezaji wa utalii wanahama zanzibar na wanahamia msumbiji nchi ilivyotengezwa, wanapata huduma ya umeme, maji, barabara, leo hapa giza, maji shida, umeme wa kuunga unga, halafu unawambia watu waje kuekeza, nani aje, watakuja hao wataliana kwa sababu wanabiashara zao za cocaine zinaenda vizuri lakini si kwa utalii, na yote yanajulikana ila mtu lake halisemi na huchukua la mweziwe ndio akalisema, na hao wanaojiita wanauchumi ndio wameifikisha nchi hii hapa na bado itazama zaidi, leo wafanya biashara wote wamehama zanzibar, wakomoro walikua wanakuja znz kufanya biashara wote wamehama kwa upumbavu wetu na ujinga wetu na kujipendekeza jipendekeza.

Leo watu wetu wamefukuzwa zantel wangapi? Rushwa imeifanya kampuni ya zantel kufilisika na itakufa kama inavyokufa nchi ya znz, wallah nakupeni kwa ufupi, kampuni ya zantel ilikuwa na ubia wa WARABU, WAHINDI NA SERIKALI YA ZNZ, WAHINDI WAKATAKA KUIPELEKA ZANTEL TANGANYIKA, WAARABU NA SERIKALI YA ZNZ WAKAKATAA, WAHINDI WAKASEMA TUPIGENI KURA YA MAONI ATAKAESHINDA NDIO ATAFUATWA, WAHINDI WAKAJUWA TUTASHINDWA, BASI WALILOLIFANYA WAHINDI WAKAWAFATA WALE BODI MEMBERS WA SERIKALI YA ZNZ WAKAWAPA RUSHWA KUBWA TU ILI WAUNGE MKONO ZANTEL KUHAMIA DAR, MWISHO WA SIKU KUPIGWA KURA MWARABU ANASEMA NO, WAHINDI NA SERIKALI YA ZNZ WAKASEMA YES, HATIMA YAKE ZANTEL HIYO DAR, NA DAR WANAOIMALIZA ZANZTEL NI TIGO, AIRTEL, VODACOM, WANAWAHONGA WAFANYAKAZI WA KIBONGO KUIYUWA MITAMBO KWA MAKUSUDI ILI KAMPUNI IFE NA ITAKUFA KWA TAARIFA YENU, TUMELALAAAAAA, WATU WANAKWENDA MBELE, UKISEMA UNAITWA CUF, MUWAMSHO, AKILI HATUNA, WALA MIPANGO, SISI TUPO KWENYE SIASA TU, WATU WANAJENGA NCHI ZAO SISI TUPO NA FITNA, HASADA, WAJINGWA WAKUBWA.
 
313505_267037340077967_1583916961_n.jpg

Kumbe zipo sababu nyingi kuwasikia wajumbe wetu wa BLW wanasema kwa ukali, ghazab na jazba wanapozungumzia haki ya Zanzibar ndani ya Muungano; dhulma inayofanyiwa Zanzibar ndani ya Muungano – na kelele zinapokuwa nyingi, zinaundwa kamati. Mpaka sasa zimeundwa kamati 200 kutatua kero (KARO) za Muungano; karo hazijasafika.

Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na "Ushirikiano wa Kimataifa" amekalia pesa za Zanzibar zipatazo 200bn/= zilizotolewa na wafadhili kwa ajili ya kuipa Zanzibar kuendeleza/kufufua specifically zile EPZ, maeneo huru ya kiuchumi Zanzibar.

Waliotoa pesa hizi wakiwemo UAE/Rasil Khemah – ambao viongozi wetu wote watatu (Shein, Seif-1 na Seif-2) wamekuwa kiguu na njia kutafuta misaada. Imepatikana Membe – laatul laah amezuia, just kutia saini tu ili pesa ziwe released.

Kipengelea kimoja kinachomfanya Membe ndiye atiwe saini/pesa za misaada, mikopo, zawadi n.k zinapoingia katika foreign currency au misaada kama hiyo – Zanzibar hairuhusiwi kusaini, kwa sababu ‘si nchi' inatakaiwa TZ ndio imwage wino.

Huu ni mwezi wa pili, Membe amekalia barua yetu na pesa zetu, halali yetu. Baadaye wanakuja Zanzibar eti kujiliza baada ya meli kuzama.

Hiyo ndio TZ, na huo ndio Muungano wetu uliodumu miaka 48 kwa Bara kuidhulumu Zanzibar.
* Plus, jana tu Abubakar alikuwa anasema ndani ya BLW kuwa hao hao akina Membe wameinyima Zanzibar fursa ya kuhudhuria vikao muhimu vya kimataifa kwa kuwanyima wajumbe wake visa, just kwa sababu wao watanganyika hawakwenda au hawakutakiwa kuwemo.

Ushauri wangu: MAMBO YA NCHI Z ANJE IONDOSHWE KABISA KATIKA LIST YA MUUNGANO (GET ME RIGHT PLEASE, SIO SUALA LA KUGAWANA MABALOZI, LA HASHA). ONDOA FOREIGN AFFAIRS KATIKA LIST HIYO FOR GOOD.

Mbaya zaiid katika sakata hili la Membe kuzuia pesa zetu, naibu wake anaitwa Mahadhi Juma Maalim – mzanzibari wa Muyuni/na Mungoni (huyu ni kambi ya NO vote katika referendum, na ndiye group la akina Samia, Haroun, Shamsi, Perera Ame Silima – wanachochea watu wa kusini wasema NO serikali tatu au muungano wa mkataba). Mahadhi, Kazi ya uzinzi haifai na kutafuta wanawake kuowa. Kuwa na akili wewe, nchi yako inazamishwa.

Hizi habari za Membe kukalia 200bn/= zimeigusa BLW na cabinet ya Zanzibar – ni habari zilizoleta ghazab sana, maana hili si la mwaka 1968 au 1980s au 1970s – it's only two months ago or less (jana na leo).

Naomba wana-mzalendo tujadili mada hii kwa kina na tuone impact yake. La kama mtaona abdisalum porojo – sawa. Maana huko nyuma nilisema mengi – mkaona ahhhh….huyu haipendi CCM + CUF na haitakai GNU tu. Leo akina Moyo, Jussa, Hamza, Mansour – wanasema hayo hayo niliyosema mimi long time ago.

Mfano niliwahi kusema katika ukumbi huu kuwa ‘ushirikiano wa kimataifa' limeingizwa baada ya zahma ya Zanzibar kutaka kujiunga na OIC; awali ilikuwa haimo. Mzalendo walipinga baadhi yao – juzi Moyo amelisema, na ameonekana ‘champion/hero'.

Hii ya membe sijui kama haitopingwa, lakini ulizeni wana-cabinet wa SMZ , muulizeni Mahadhi na huyo bosi wake Membe – kweli si kweli?

CHANZO :
mzalendo.net
Hapo kwenye bold, mi nilidhani viza hutolewa na nchi husika kupitia uwakilishi wake ( ubalozi) kumbe siku hizi waziri wa Mambo ya Nje anaweza kunyima au kutoa viza kwa watu kwenda nchi nyingine.?
 
313505_267037340077967_1583916961_n.jpg

Kumbe zipo sababu nyingi kuwasikia wajumbe wetu wa BLW wanasema kwa ukali, ghazab na jazba wanapozungumzia haki ya Zanzibar ndani ya Muungano; dhulma inayofanyiwa Zanzibar ndani ya Muungano – na kelele zinapokuwa nyingi, zinaundwa kamati. Mpaka sasa zimeundwa kamati 200 kutatua kero (KARO) za Muungano; karo hazijasafika.

Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na “Ushirikiano wa Kimataifa” amekalia pesa za Zanzibar zipatazo 200bn/= zilizotolewa na wafadhili kwa ajili ya kuipa Zanzibar kuendeleza/kufufua specifically zile EPZ, maeneo huru ya kiuchumi Zanzibar.

Waliotoa pesa hizi wakiwemo UAE/Rasil Khemah – ambao viongozi wetu wote watatu (Shein, Seif-1 na Seif-2) wamekuwa kiguu na njia kutafuta misaada. Imepatikana Membe – laatul laah amezuia, just kutia saini tu ili pesa ziwe released.

Kipengelea kimoja kinachomfanya Membe ndiye atiwe saini/pesa za misaada, mikopo, zawadi n.k zinapoingia katika foreign currency au misaada kama hiyo – Zanzibar hairuhusiwi kusaini, kwa sababu ‘si nchi’ inatakaiwa TZ ndio imwage wino.

Huu ni mwezi wa pili, Membe amekalia barua yetu na pesa zetu, halali yetu. Baadaye wanakuja Zanzibar eti kujiliza baada ya meli kuzama.

Hiyo ndio TZ, na huo ndio Muungano wetu uliodumu miaka 48 kwa Bara kuidhulumu Zanzibar.
* Plus, jana tu Abubakar alikuwa anasema ndani ya BLW kuwa hao hao akina Membe wameinyima Zanzibar fursa ya kuhudhuria vikao muhimu vya kimataifa kwa kuwanyima wajumbe wake visa, just kwa sababu wao watanganyika hawakwenda au hawakutakiwa kuwemo.

Ushauri wangu: MAMBO YA NCHI Z ANJE IONDOSHWE KABISA KATIKA LIST YA MUUNGANO (GET ME RIGHT PLEASE, SIO SUALA LA KUGAWANA MABALOZI, LA HASHA). ONDOA FOREIGN AFFAIRS KATIKA LIST HIYO FOR GOOD.

Mbaya zaiid katika sakata hili la Membe kuzuia pesa zetu, naibu wake anaitwa Mahadhi Juma Maalim – mzanzibari wa Muyuni/na Mungoni (huyu ni kambi ya NO vote katika referendum, na ndiye group la akina Samia, Haroun, Shamsi, Perera Ame Silima – wanachochea watu wa kusini wasema NO serikali tatu au muungano wa mkataba). Mahadhi, Kazi ya uzinzi haifai na kutafuta wanawake kuowa. Kuwa na akili wewe, nchi yako inazamishwa.

Hizi habari za Membe kukalia 200bn/= zimeigusa BLW na cabinet ya Zanzibar – ni habari zilizoleta ghazab sana, maana hili si la mwaka 1968 au 1980s au 1970s – it’s only two months ago or less (jana na leo).

Naomba wana-mzalendo tujadili mada hii kwa kina na tuone impact yake. La kama mtaona abdisalum porojo – sawa. Maana huko nyuma nilisema mengi – mkaona ahhhh….huyu haipendi CCM + CUF na haitakai GNU tu. Leo akina Moyo, Jussa, Hamza, Mansour – wanasema hayo hayo niliyosema mimi long time ago.

Mfano niliwahi kusema katika ukumbi huu kuwa ‘ushirikiano wa kimataifa’ limeingizwa baada ya zahma ya Zanzibar kutaka kujiunga na OIC; awali ilikuwa haimo. Mzalendo walipinga baadhi yao – juzi Moyo amelisema, na ameonekana ‘champion/hero’.

Hii ya membe sijui kama haitopingwa, lakini ulizeni wana-cabinet wa SMZ , muulizeni Mahadhi na huyo bosi wake Membe – kweli si kweli?

CHANZO :
mzalendo.net

Membe kama Membe hawezi kufanya hivyo pekee yake, angalieni sera ya nje ya Tanzania katika masuala kama hayo inasemaje? kuna interest gani inayoweza kumfanya Membe pekee yake azuie kitu kama hicho? kama kimekuja katika utaratibu unakubalika kwa nini akatae? Tuache kujengeana chuki bila sababu za msingi, tueleze ukweli wa jambo lenyewe.
 
unafaida kwa wazanzibari

Wazanzibari ndio hao wanalalamika, faida hawaioni wanachokiona ni hasara tu. Kama na sisi hatuna faida nao na una hasara tu kwanini tuung'ang'anie?

Kama inabidi uwepo, Serikali tatu. Kila mtu awe huru kufanya maamuzi yake.
 
Hivi ni nani huyo aliyekalia maamuzi mazuri kama haya?
Tunasubiri nini kutekeleza kwa vitendo uamuzi mzuri kama huu?
Natamani niwe mwenye kauli ya mwisho kutamka kwamba "MUUNGANO NIMEUVUNJA RASMI KUANZIA LEO"
 
Back
Top Bottom