Roho mtakatifu kuwashukia watanzania 2015?

Roho mtakatifu kuwashukia watanzania 2015?

Mleta mada ndo mdini anaposema roho mtakatifu anadhani wote tunamjua ficha upumbavu wako na wewe jinga kubwa we
 
mkuu, simaanishi kunnuliwa kwa wanasiasa--namaanisha kuhongwa kwa wapiga kura--wengi wao, hasa vijijini, hupewa rushwa za chumvi, fulana, gongo, sabuni, etc na kukubali kuuza kura zao kwa maccm. hawajui umuhimu wa kura zao hata kidogo.


Nina Imani safari hii mafisadi yao ni taiti sana itakula kwao!
 
Ushamuona yule mtetea posho bungeni Lema alivyonenepa kama nguruwe?

wewe ni mmoja wa ibilisi wanaokwamisha ukombozi wa nchi hii--unahitaji maombi maalumu ili kufunguliwa akili zako za kipepo ziwe za kibinadamu. wewe unaona raha sana kuishi kwenye umaskini wa kupindukia huku watu wachache wakifaidi keki ya taifa? you're such a notorious twit I've ever come across!
 
Mleta mada ndo mdini anaposema roho mtakatifu anadhani wote tunamjua ficha upumbavu wako na wewe jinga kubwa we

kwani umelazimishwa kuchangia wewe mxxng? kama huamini roho mtakatifu endelea kumwamini shetani wako.
 
Mimi sijawahi kununuliwa wala kurubuniwa! Hii sidhani kama inahitaji nguvu ya ziada, tumepewa akili tujitahidi tuzitumie

Safari hii hera yetu waliyoiba tutakula na kura hatuwapi,
 
kwa leo hii yako ndiyo post mbovu kuliko zote !

Usimshangae sana huyo jamaa anayejiita kudadadeki.

Hata hilo jina la Avatar yake,linaashiria hata IQ yake,itakuwa ipo chini sana, na siyo ajabu alikurupuka usingizini,ndiyo akaamua kupost hizo pumba zake!
 
Naona wanaLumumba mmefanikiwa kuvuruga mtiririko wa maoni na muendelezo wa uzi huu. Mmemeliza kazi, nendeni mkachukua buku 7 zenu faster.

View attachment 129719
 
Back
Top Bottom