Mnapiganaia demokrasia halafu manajificha ............. mbona hicho ni kituko cha mwaka. Kama ni kweli basi jitokezeni wote kwa pamoja ili muonyeshe nguvu zenu la sivyo itakuwa mnamtishia nyau mtu mzima.
Naona usalama wa tf, zitt na mkumb wako kazini kwa mara nyingine, acheni kutufanya sisi watoto wadogo mchezo mnaocheza tumeshaujua mnatengeneza mazingira ya ajali. We are ahead in every step
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.