Duuuhhh, Watanzania bado kabisa kuelimika hawa ndio wanaojiita wasomi wa nchi hii wamesoma na kutafakari historia ya Lowasa wameamua kujilipua na kuzidi kuongeza umaskini na rushwa kwenye nchi hii. Washihili husema "Wajinga ndio waliwao" Hawa watu wakifanikisha kumpitisha huyu mla rushwa na group lake baada ya miaka miwili mitatu akiingia madarakani wajutia sana huu ujinga wao