Kitu huwez amini ukiwa na sedan njia ya kufunguka utaenjoy kuliko hizo SUV unazosema. Zile hata kona ukilala nayo unaona kama ndo mnaanguka. Ila sedan utawala tuu. Nimesafiri Moshi Dar na harrier tako la nyani zaidi ya mara moja tena ikiwa imekula nundu imetamia vizur ila kwenye kona hofu...
Mi ninayo grs180 mkuu hizi gari watu wanaziogopa tuu. Wese la 50k napiga town trips zangu toka mbezi beach to kariakoo kila siku week nzima. Ukiikanyaga vizur highway RPM iwe 2000 ikizid sana 3000 unapata consumption ya 14km/h ambapo ukiweka wese full tank 70Litres tena petrol station kama GBP...
Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
Mimi baada ya kumaliza chuo nkapata kazi kampuni moja moshi 2017, walikuwa wakinilipa 350k take home niliona nyingi, mwaka mmoja nkaacha nkapata kazi kampuni nyingine dar, nkajikusanya nikapata kama 3m hv,, bosi akasema kampuni haijiendeshi kwa faida maana miradi ilikata hivyo tukapunguzwa...
Direct to the point.
Wakuu baada ya hustling za maisha Dar nataka nikafanye biashara kati ya Dodoma au Manyoni. Nimepata kufanya biashara ya vipodozi (cosmetics) au vifaa vya simu.
Naomba kwa wajuzi wa maeneo hayo je biashara ipi itakuwa inatoka? Na je kati ya Dodoma na Manyoni wapi kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.