Naomba mawazo yenu wadau biashara gani nifanye kwa maeneo haya?

Kichangiri

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
331
670
Direct to the point.

Wakuu baada ya hustling za maisha Dar nataka nikafanye biashara kati ya Dodoma au Manyoni. Nimepata kufanya biashara ya vipodozi (cosmetics) au vifaa vya simu.

Naomba kwa wajuzi wa maeneo hayo je biashara ipi itakuwa inatoka? Na je kati ya Dodoma na Manyoni wapi kidogo pana afadhali.

NB Natarajia kuanza na mtaji kati ya m5 hadi m7
 
Tembea na biashara ya phones & accessories. Jikite Dom alafu ukikaa sawa jitanue kwenye wilaya za jirani kama Bai,Manyoni,Gailo n.k kwa kuwasambazia bidhaa kwa bei rafiki kabisa na bidhaa bora.
 
Tembea na biashara ya phones & accessories.
jikite Dom alafu ukikaa sawa jitanue kwenye wilaya za jirani kama Bai,Manyoni,Gailo n.k kwa kuwasambazia bidhaa kwa bei rafiki kabisa na bidhaa bora.
Thanks boss.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom