Israel afanye uonevu wake kwa taifa dogo Kama Palestine Bali akija akigusa urusi ndo utaposikia Kuna wakimbizi kutoka Israel wamefika Hadi bongo wanatafuta hifadhi ya kukaa nahisu hata ramani ya nchi yao sijui Kama itakuwepo tena
Vizur Sana Israel lkn siku.moja itakuwa zamu yako kwani mungu Hana haraka mfano mdogo kawaletea kidudu kidogo tuu kirusi Cha Corona mnapukutika Kama kunguni nje hamtoki kwann Sasa chukuen mizinga mkibabue huo ndio uwezo wa mungu Sasa tulia zamu yako iko njian unaangaliwa tuumuulize babu yako...
Tatizo viongoz wa ccm Zanzibar baada tu ya kuchaguliwa hawana Tena mamlaka ya kufanya llte wanakuwa Kama wanaendeshwa kikubwa ni Kuna Mali na ardhi na kujimilikisha wenyewe huyo mwinyi nae Hana jipya anakuja kuongeza maeneo aliyaacha babakee wazidu kula Bata hi ndio Zanzibar bwana hapa kwangu...
Ushaur wangu kwa viongo wote was kisiasa na kidini acheni kugombna kwa dunia Kama mnajua haina Faida yyte kwenu fitna ni mbaya wangap walikuwepo na madaraka yao mpaka ilifikia hatua ya kujiita mungu leo wamelala kwenye tumbo la ardhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.