Ushahidi Gwajima ananunua kadi za wapiga kura Kawe

Kwitululu

Member
Mar 30, 2020
62
124
Tawi la Salasala jimbo la Kawe NCCR MAGEUZI limebaini na linaushahidi wa kutosha. Watu wanaomtaka mgombea wa CHAMA hicho wa ubunge bi Martha Chiomba.
Screenshot_20200919-125232-1.jpeg
 
Huo nao ni uwongo mwingine kama ulivyo uongo mwingine, Na kama ilivyotokea Kwa mlevi mmoja kusingizia amedunguliwa na akavunjika mguu!!!
 
Kwa hiyo anazinunua halafu anazipeleka wapi? Anaziuza kwa watu wengine? Anazipikia pilau kwakuwa ni viungo?

Hahahahah huu ni ujinga mkubwa hahahah
 
Back
Top Bottom