Recent content by Kichaafulani

  1. Kichaafulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

    Me sipendi kunyonywa kabisa nakereka
  2. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Mkuu nifungulie kule nina kaujumbe kako
  3. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Ipitie malampaka, malya, ngudu then mabuki
  4. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Ugavi na Manunuzi mwenye uzoefu mkubwa wa uondoshaji mizigo bandarini naomba ajira

    Habari Wakuu, Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtaalamu wa manunuzi niliyethibitishwa na Bodi ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (CPSP). Nina uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni tatu tofauti kwenye nafasi ya afisa mgavi. Nina uzoefu wa kufanya kazi za uondoshaji mizigo...
  5. Kichaafulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Bungeni kila Alhamisi

    Nakuandikia bila mafanikio
  6. Kichaafulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Bungeni kila Alhamisi

    Fungua PM cousin
  7. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Kuna eneo watoto wa songe secondary enzi hizo mixer tulikuwa tunakutana panaitwa Kariakoo
  8. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Darasa, Zilla nimewaacha chuo nakumbuka jinsi Zilla R.I.P alikuwa hawezi nipita bila kunipa Hi!
  9. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuondoa weusi katikati ya mapaja na kwapa

    Usishangae, mimi nikikutana na papa jeusi ndiyo huwa nalizibua vilivyo. Hivi vyekundu huruma huwa inaniingia kidogo
  10. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuondoa weusi katikati ya mapaja na kwapa

    Piga spaana rangi inakusumbua nini mjubaa?
  11. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Namba 10: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar

    Dr Mwinyi yeye ni muunguja? naomba kufahamishwa tafadhali
  12. Kichaafulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Mbona tunazama sana tu, kama wewe huzamiwi ni wewe
  13. Kichaafulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Kila siku mnalilia ndoa sasa hivi tena mnasema tusiwaoe? kweli wanawake hamjui mnachokitaka
  14. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

    Sawa bahebu uletungeleja Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kichaafulani

    JamiiForums Tanzania Mzee Musiba, kazi za Rais Magufuli zinaonekana kwa macho hata gizani

    VUTA-NKUVUTE salam zao Kibondo, usisahau kutuletea mawese mkuu
Back
Top Bottom