Recent content by Kichaachadog

  1. K

    Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Hata huku rocky city maeneo ya mkuyuni kuna kituo cha LAKE OIL... Nilipita na dreva tax mmoja na akaniambia hiki kituo kinamilikiwa na ridhi1, sikutaka kuamin, tukamuuliza mfanyakazi akaishia kuchekacheka tu..! Dah! 100% hyo inshu ni ya kweli!
  2. K

    Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

    Hilo kundi lishakuwa kimeo.., linafufuka kipindi cha kampeni.,!
  3. K

    Mbabe Gattuso!

    Nimeipenda hyo...Au ndo kaanza kushabikia mpira wa miguu juzi??
  4. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hv wine roomey (joka la kibisa) ana magoli mangapi msimu huu..
  5. K

    Siri ya kitanda anajua mama

    Kweli kitanda hakizai haramu...
  6. K

    Hi...

    Niaje wana jf?
Back
Top Bottom