Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jcb, Feb 14, 2011.

 1. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mh. Freeman Mbowe anazungumza na atatangaza mawaziri vivuli kutoka Chadema ambapo ameteua mawaziri 29 ilikuishi kwa kile walicho kihubiri...
  Msemaji mkuu
  1. Mh. Freeman Mbowe Msaidizi ... Mh. silinde
  tuendeleze.............
   
 2. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  MAMBO YA NDANI... Mh. Godbless Lema
  SHERIA....... Mh. Tindu Lisu
   
 3. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  MSemaji ofisi ya Raisi: Freeman Mbowe, Msaidizi: Silinde David
  Uwekezaji na Uwezeshaji: Matiko
  Ofisi ya Waziri Mkuu: Vicent Kiboko
  Ofisi ya Raisi: Said
  Ofisi ya Raisi & Utawala Bora: Mch Nakse wa Karatu
  Ofisi ya Makamu wa Raisi: Gekulu
  Ofisi ya Raisi & Mazingira: Leticia Nyerere
  OFisi ya Fedha: Zitto Kabwe Msaidizi: Christina Lissu
  Mambo ya Ndani: Lema
  Katiba ya Sheria: Tindu Lissu
  Kimataifa: Wenje
  Jeshi la Ulinzi: Seladhini
  Mawasiliano: prof Kayili
  Makazi: Mdee
  Maliasili: Mch Peter Msigwa
  Nishat na Madini: Mnyika
  Ujenzi: Machemli
  Uchukuzi: Mhonga Said
  Viwanda: Olenywa
  Elimu na Mfunzo: Mtinda
  Afya: Dr Gilbert Mbasa
  Maendeleo ya Jamii: Naomi Kaiula
  Vijana na michezo: Mbilinyi Mr Two
  Kilimo: Meshack Obulugwa
  Maji: Haines Kiwia

  Hawa ndio MAWAZIRI KIVULI WA UPINZANI
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Leo Dr Slaa yupo mjengoni means alot to this country hata Jakaya imempatia wasiwasi
   
 5. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuropoka bungeni na kujionyesha kuwa si mpinzani hatimaye leo CDM wamemtosa uwaziri kivuli.....:bump:
   
 6. N

  Nesindiso Sir JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 374
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks mkuu
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ila mimi shibuda huwa simuelewi saana kimsimamo, japo ni hodari saana wa semi.
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  haiwezekani kila mtu kuwa waziri kwa hiyo sredi imekonda labda uiongezee nyama iwe na mashiko
   
 10. T

  TwendeSasa Senior Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  taja taja wizara jamani.uwepo wa dr slaa mjengoni ni panikng kwa wabunge wa ccm..
   
 11. Pentest

  Pentest Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Michezo------Joseph Mbilinyi ( aka Sugu)
   
 12. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shibuda ni kada wa CCM na hana uchungu na CDM na pia ana mawasiliano ya karibu na mafisadi akiwemo Makamba na Jk
   
 13. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Inatosha kwa yeye kubaki kuwa mbunge wa kawaida.
   
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  abaki jinsi alivyo
   
 15. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  shibuda chali
   
 16. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Asante kwa taarifa.
   
 17. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbali na kuwa kizabazabina Shibuda hana sifa zozote za kumwezesha kuwa waziri kivuli.
   
 18. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kataja mawaziri kivuli na wote wanatokea CDM. Wachache ninaowakumbuka ni T.Lissu-sheria na katiba, Mbowe-ofisi ya Waziri mkuu, Mdee-Ardhi, Zito-Fedha, Wenje-Mambo ya nje. Mwenye list kamili atusaidie.
   
 19. K

  Kichaachadog Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thankx...
   
 20. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tofauti yake na Makamba ni kwamba Makamba ni Katibu Mkuu wa CCM while yeye ni mbunge wa kawaida. If you know what I mean....
   
Loading...