Recent content by kiburugwa

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

    Nimekubali mshindi anastahiki
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nani Kaumaliza Mwaka? Nani kauona Mwaka?

    Jamaa gani mbona hujafafanua
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Rest in eternal peace mamaaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Dar Mtwara Baai la Ambiance
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

    Wewe ungekuwa na mawazo yasiyo na hasara usingekaa na kufikiria kwamba anaefanikiwa kimaisha kama diamond anatumia uchawi. Wee mchawi ndio mana unaweza kutuaminisha kwamba naw anatumia uchawi. Ni sababu ya ya tuzo tu ! Mbona hukutuambia toka anaanza kufanya vizuri yeye ni mchawi. Jiangalie...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

    Wewe ni mlokole wa ajabu unaeamini uchawi. Badilika kifikra. Mtazamo wako ni hasi unataka kuwalisha Watanzania vitu unavyoamini wewe. Ndumba. Karne ya 21 unaamini ndumba pole sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

    Sasa hao wenye vipaji mbona hawafanyi vizuri kimataifa. Kwahiyo na Vanessa nae anatumia ndumba japo hajapata. Acha fikra potofu. Hata jk anatambua kipaji cha jamaa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

    Nilichogundua ni kwamba kamwe Watanzania hatutaendelea. Watu wamekuwa wakiamini mambo yasiyoaminika. Hivi kweli mtu Hawezi kuwa na maendeleo hadi iwe uchawi!!! Inashangaza sana. Tumsapoti Diamond iwe anatumia au hatumii uchawi muhimu anailetea nchi yetu sifa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema analia, Keisha anacheka

    Mahalumu ndio viti gani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkutano Mkuu CCM Rais Kikwete Anza Maisha ya UPWEKE Kuelekea Kustaafu

    Igp ni mkristo mbona unachanganya mambo ndugu. Acha hiyo kitu. Tuepukane na ubaguzi wa aina hii ili kulinda amani ya nchi yetu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkutano Mkuu CCM Rais Kikwete Anza Maisha ya UPWEKE Kuelekea Kustaafu

    Uma matatizo wewe na akili yako. Ni nani alieteuliwa kiudiniudini. Acha kuleta ubaguzi wako.
  12. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe kituo cha polisi hufungwa?

    Umetoa maelezo bila ya kutuambia ni muda gani ulipita hapo. Taja muda; asubuhi, mchana au joini?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Wivu huo
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Acha chuki jivunie chako
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Hongera kwa platinum
Back
Top Bottom