Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,565
Binaadamu wengi tunapokua na Afya njema mara nyingi tunakua na majigambo na kubedha wengine wasiokua na Afya njema.Bila kukumbuka suala la Afya yako huusiki nalo kwa asilimia 100, Mungu ndie atupae Afya njema kwa Asilimia 100.
Usiku unaweza kulala na Afya aslimia 100 asubuhi ukaamka Mahututi asilimia 100.Afya za watu sio za kusemasema kwani hujui Mungu ana lengo gani kumfanya yule awe Mgonjwa na wewe uwe Mzima.
Tushukuru Mungu kwa uzima wetu na tuwaombee wagonjwa kwa magonjwa yao ili nao wapate nafuu na hata kupona kabisa.
Leo unashabikia yule Mgonjwa, Je wewe unahakika gani kesho utakua mzima kwa kiasi gani?
Ni vizuri kuonyesha uko Fit lakini sio kwa kumbedha mwingine nae anapenda kua Fit kama wewe.
Wangapi tuliowaona wapo Fit leo wametangulia mbele za haki?
Nani Mzima leo, kesho atakua Mahututi?
Nani leo atafariki ni yule mgonjwa au sisi wazima?
Hatima yetu ni Mungu pekee aijuae.
Sisi sote ni Waja wa Mungu.
Una Afya njema leo kumbuka kumuombea mwenzako.
Nani Kamaliza Mwaka? Nani Kauona Mwaka?
Ni Majaaliwa yake kuona Mwaka.