Recent content by Kibra49

  1. Kibra49

    Naomba kujua kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji, ukiacha kampuni ya watu credit

    Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji hapa Dar es Salaam.
  2. Kibra49

    Salary scale ya customer care wa kampuni za kubet kama ntaweza kujuzwa sokabet ntashukuru

    Habari wadau naomba kuuliza agent wa customer care service kwenye betting salary scale yao ni kuanzia ngapi?
  3. Kibra49

    Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

    Vp upande wa ku attacha vyet kipind una apply je unaweka vyote kwa pdf moja au unaweka chet unacho apply
  4. Kibra49

    Airtel Tanzania wamekuja na huduma ya eSIM

    Gharama zake sh ngap
  5. Kibra49

    Kupata kazi PCCI kwa aliye na Connection pale

    Ok sawa naona ujaelewa nilichokuwa nina maanisha, ni kwamba pcci ni outsourcing company amabayo inaajiri watu kwa niaba ya makapuni mengine kwa maaana ya hao pcci ni wanatoa ajira customer care agency wa tigo. Niloshatuma maombi sana pale bila mafanikio na juzi nimepeleka pale cv wakasema nitume...
  6. Kibra49

    Kupata kazi PCCI kwa aliye na Connection pale

    Habari wana jf Ninaomba msaada wa kupata nafas ya kuitwa interview pale pcci kama kuna mtu anafahamiana naye pale anaijua mianya maana nimeshatuma sana maombi bila mafanikio.
  7. Kibra49

    Msaada: Certification ya Advanced Diploma

    D DUh hapo kweli changamoto
  8. Kibra49

    Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

    A Sante sana swali zuri sana ilo,akiweza kujibu ndo aendelee kutoa hoja
  9. Kibra49

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Mtoto mdogo sna huyo asikuumize akili hajui kitu zaid ya kupayuka tu ujinga bado anaitaji kutawazwa
  10. Kibra49

    Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

    Huo ndo mwisho wako wa kufikiria,akili finyu kama mafuta ya taa jifunze dogo sio kuropoka utumbo Ndo
Back
Top Bottom