Recent content by kibovu kichwa

  1. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu popcorn machine

    Mkuu umekuja wakati muafaka sana. Mimi nahitaji sana hii mashine. Kwanza unapatikana wapi ?
  2. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Nani kafanyiwa Massage na hawa wanawake wa kileo?

    Dah shetani ananiita walai Mungu anisaidie tu nisielekee uhindini
  3. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepiga 'hat trick' kwenye Korosho

    nani amekwambia imekufa wakati mwezi jana watu wamelipwa pesa ili wapishe huo ujenzi ambao tayari umeshaanza. Acha kuongea vitu usivyovijua
  4. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Tusimwadhibu Diamond Platnumz

    Shida isingekuwa kuwapigia kampeni washindani wake, shida ni kumsagia kunguni aondolewe kabisa kwenye hicho kinyang'anyiro. Wakina kigogo nuksi sana
  5. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Nijihadhari vipi ili kulinda akaunti yangu ya benki dhidi ya wadukuzi?

    Sawa sawa nakuelewa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Nijihadhari vipi ili kulinda akaunti yangu ya benki dhidi ya wadukuzi?

    Eti eh... basi sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Nijihadhari vipi ili kulinda akaunti yangu ya benki dhidi ya wadukuzi?

    we ndo unachelewa kujua. Unaona hapo juu jamaa anashauri kuwa account nyingine kwaajili ya online transactions. Sasa unafikiri kwanini asuggest hivyo kama haya mambo hayapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Nijihadhari vipi ili kulinda akaunti yangu ya benki dhidi ya wadukuzi?

    Wakuu habari zenu, Hivi mtu ukiwa na viakiba vyako vya kuunga unga benki. Kwanza natamani kujua Benki kuna usalama kiasi gani dhidi ya wezi wa kisasa wanaotumia teknolojia? Pia nijihadhari na nini ninapokuwa nalink akaunti yangu na huduma mbalimbali za kulipia mitandaoni? Karibuni tupeane...
  9. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Constansia Burreta: Mwanamke wa nne Tanzania mtaalamu wa upasuaji wa ubongo, mishipa ya fahamu na mgongo

    Hongera yake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

    Napendaga anavyoongea hasa akiwa anapiga mikwara yake kwenye kaguzi mbalimbali Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

    we ni fala sana yaani hayo mazungumzo umeona ya ajabu sana. Kuna mademu wamepinda mnaweza piga story zote zilizopo duniani inategemeana na mmezoeana vp wala hakuna mambo ya ushoga unayoleta wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Duh dunia inaenda kasi sana
  13. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

    Mbona yupo Insta anauza tigo. Mtafute kule utampata tu... anajiita black nini sijui
  14. kibovu kichwa

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Saiv nimenasa kwa shemales yaani nakuwa kama siamini ninachokiona, hv wale walizaliwa wanaume kweli? wengine wanashape amaizing sana basi nabaki nimeduwaa tu
Back
Top Bottom