Wamiliki wa Magari Adimu (brand tofauti na TOYOTA, Magari yenye changamoto ya upatikanaji wa Spare Parts) Tukutane Hapa

Yani nimejifunza vitu..kwa kuanziantubntaanza na Toyota, then ntajuaniwe Carina, Corona au FunCargo, Raktis
 
Tatizo la kwanza, sio kila fundi wa gari anaweza kushughulika na magari yasiyo aina ya Toyota.

Kuna mmoja nilifanya kosa la kumwamini, iliteketea zaidi ya millioni na nusu huku gari ndio hali ikazidi kuwa mbaya.

Bahati nikapata jamaa anafanya kazi Noble Motors ndio akaokoa jahazi.
Licha ya spare za hizi gari kuwa juu, ukipata yenyewe zinadumu. Kuuziwa plug moja 250k sio jambo geni.
 
Daah. Maana natafuta gari ya juu Kwa bajeti ya 11m (gharama zote)
Kanunue nissan extrail na vichenchi huenda vikabaki ila usiwe mbahili wa kuinunulia spare original plus other consumables ambazo ni original pia kama vile radiator coolant. Maana Nissan haitaki matunzo ya kuungaunga la sivyo itakuwa kila siku unaanzisha thread za kuomba ushauri na namba za mafundi nissan
 
Ninataka kununua Honda stepwagon ninaomaba ushauri kuhusu
1. Uimara wake
2.upatikanaji wa spears
3. Uvumilivu katika barabara zetu za vumbiView attachment 1154350
Screenshot_2019-07-15-16-23-32.jpeg
 
Back
Top Bottom