Recent content by kiborinangai

  1. K

    UVCCM mbona mko kimya sakata la vyeti feki vya Paulo Makonda?

    GAZIIIII HUYOO NDIO MTOTO WA TUMBONII MKUUU
  2. K

    Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

    mimi ndio nataka hayo majibu na sio wewe kwa hiyo huitaji kujua aliyemuambia anijibu
  3. K

    Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

    ahsantee mkuuuu umenitoa katika giza mkuu
  4. K

    Nini maana ya mwambata wa Jeshi?

    Wanajamvi habarinii za humu ndani wakuu naomba anaefahamuu MWAMBATA WA JESHI NI NANI NA NAPATIKANAJE NA ANAFANYA KAZI GANIII
  5. K

    Hongereni wana Mbeya Mjini mmepata jembe, Dr.Tulia Ackson atawafaa sana 2020

    hapoo atakaa sanaaa mkuuu ataishia kuotea tuu
  6. K

    Huu ni ukweli au nimeliwa?

    DUUU MKUUUU NIMELIWAAA MKUUU
  7. K

    Huu ni ukweli au nimeliwa?

    Wakuu habari za humu ndani Naomba kufahamu kuhusu hawa watu wanaoitwa WORLD CONCERN INTERNATIONAL AU NIMELIWA WAKUUU MAANA SIJUI NILIE NANI I trust you are fine. We have reviewed your application, qualifications & experience, and pre- shortlisted you for the Administration Officer Position...
  8. K

    Nauza laptop

    unapattikana wapi mkuu
  9. K

    RC Makonda yupo wapi?

    Habarini za humu ndani wanajukwaa, Ni takribani miezi miwili imepita sijamuona kwenye media wala kumsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar esa Salaam nimekuwa nikijiulizaa Mkuu huyuu amekwenda wapi? Je, anaumwa, ametumbuliwa kimyakimya au ameamua kuchukua yake maana ilikuwa haipiti hata siku sijamsikia...
  10. K

    AIBU YA MTU MWEUSI: Chama Cha Siasa Kuwa Omba Omba Kwa Wazungu Ili Kupata Pesa !!!

    mkuu chamaa kipii mkuu funguka tukusikie vzr ,naweka nyama vzr ishibee maan naona hakuna shibe hapo tunashindwa kupumua vizr kupitia uzi wako
  11. K

    Rais Magufuli kuvunja rekodi ya Rais wa Uruguay?

    mkuuuu na mengine huonii ameharibuu leo unazuia mikutano ya kiserikali kufanyika mahotelini bila kujua kule wameajiriwa watanzania hapo imekaaje mkuu, unazuia pesa za serikali kuingia kwenye uchumi bila kujua kuwa kufanya hivyo ni kuzuia mzunguko, kuingilia taaluma kwako ni sawaaa kwako mkuu...
  12. K

    Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

    mkuu kwa hali ilivyo sasa watakutafuta tuu Au unataka upelekwe huko Ndugu Lissu aliposema wanapelekwa
  13. K

    Polisi wachukulieni hatua hawa matapeli Moshi

    Habari za humu ndani wanajukwaa wenzangu hapa mjini Moshi polisi wasipowatafuta hawa matapeli na kundi lao moshi pataharibika Pius Mrosso au Asenga kwa jina maarufu huyu anafoji risiti za TRA na taasisi zingine na kuingia taasisi za fedha kutapeli Fedha kama Mabenki na taasisi zingine...
  14. K

    Kuombwa mchango wa harusi na mpenzi mliyeachana

    Habari wanajamvi, Naomba kuleta uzi huu kuomba ushauri, Eti ni sawa kuachana na mpenzi wako alafu anakuja kuolewa anakuomba mchango wa harusi yake?
Back
Top Bottom