Kaenda china kama mwigulu? Itakuwa training ya hatari.Nasikia yuko training.
wabongo banaHabarini za humu ndani wanajukwaa,
Ni takribani miezi miwili imepita sijamuona kwenye media wala kumsikia Mkuu wa Mkoa wa Dar esa Salaam nimekuwa nikijiulizaa Mkuu huyuu amekwenda wapi?
Je, anaumwa, ametumbuliwa kimyakimya au ameamua kuchukua yake maana ilikuwa haipiti hata siku sijamsikia kwenye media kafanya ivi
au zile milioni tano za wavuta shishi zinawezakuwa zimempitia?
Mbona hospitali ziko hapa kwetu na madaktari ni wazuri. Nadhani yupo likizo. Arudi tu afanye ziara awamu ya pili maafisa ardhi wanatuangushaWameenda kwenye matibabu na wife, umri unasonga nae anahitaji kitwa baba.