kiborinangai
Member
- Mar 11, 2016
- 17
- 5
Wanajamvi habarinii za humu ndani wakuu naomba anaefahamuu MWAMBATA WA JESHI NI NANI NA NAPATIKANAJE NA ANAFANYA KAZI GANIII
ahsantee mkuuuu umenitoa katika giza mkuuNi mtaalamu wa mambo ya jeshi anayeambatanishwa katika ofisi ya ubalozi ya nchi. Kawaida anakuwa ofisa mkubwa wa jeshi anayekuwa anafanya kazi ubalozini. Mara nyingine hupata nafasi ya kufanya kazi za kijeshi uwanjani na majeshi ya nchi nyingine.
A military attaché is a military expert who is attached to a diplomatic mission (an attaché). This post is normally filled by a high-ranking military officer who retains the commission while serving in an embassy. Opportunities sometimes arise for service in the field with military forces of another state.
Military attaché - Wikipedia
Safi mkuu umemjibu barabaraNi mtaalamu wa mambo ya jeshi anayeambatanishwa katika ofisi ya ubalozi ya nchi. Kawaida anakuwa ofisa mkubwa wa jeshi anayekuwa anafanya kazi ubalozini. Mara nyingine hupata nafasi ya kufanya kazi za kijeshi uwanjani na majeshi ya nchi nyingine.
A military attaché is a military expert who is attached to a diplomatic mission (an attaché). This post is normally filled by a high-ranking military officer who retains the commission while serving in an embassy. Opportunities sometimes arise for service in the field with military forces of another state.
Military attaché - Wikipedia
wee nani amekuambiamajibu safi hayo hapo juu, pia mara nyingi uwa mtu wa usalama pia.
wee nani amekuambiamajibu safi hayo hapo juu, pia mara nyingi uwa mtu wa usalama pia.
mimi ndio nataka hayo majibu na sio wewe kwa hiyo huitaji kujua aliyemuambia anijibuwee nani amekuambia
Kawaida anakuwa ofisa mkubwa wa jeshi anayekuwa anafanya kazi ubalozini
Ubalozi wa nchi yake katika nchi nyingine.Ubalozi upi