Recent content by Kibona yessaya

  1. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    ni vema ukawa na hasira ya kutafuta chako yani kama kile au kuzidi kile Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  2. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Lissu hawezi kutibiwa kwa michango, ana stahiki zake kama mbunge

    Cha msingi LISSU apone bas maana ili jambo siyo la kisiasa naomba watazania wote tumuombee kwa mungy
  3. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imesama marekani imeanzisha vita hii inakuaje kwa upande wako

    ngoja tuone nguvu za marekani maana wamezoea kila inchi ni nyonge kwa kwao
  4. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imesama marekani imeanzisha vita hii inakuaje kwa upande wako

    wamerekani wamezoea kila nchi ni nyonge ngonja tuone na uko kuvu zao zikoje
  5. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    kumbuka wakatishaji watu tamaa ate kwetu wapo
  6. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Haitakiwi kumsifia Makonda

    huwa sipigi mawazo ya mtu kwa kuwa ndivyo alivyo fikiri ila juu mambo haya kuunza na mtumiaji ni bora maana atakwambia anatoa wap. kupinga au kuponda juhudi za mtu si kumfanya awe na juhudi ila kumkatisha tamaa kwa jambo lake analofanya
  7. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mawakili wanaowatetea wahalifu waliokutwa na ushahidi nao wawekwe rumande ili wakome

    ni kweli anayetetea mhalifu naye ni mhalif wote wakae ndani
  8. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    fanya kazi kk kwa upendo wa mungu nipo pamoja na weww hatua kwa hatua
  9. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Habari 2016: Pongezi kwa JPM toka kwa waandishi Arusha

    kasome tena ile sheria
  10. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    kama kapata ya 26 akasome kozi nyingine kama uwalimu katika vyuo vya serikali wanampokea
  11. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Tuanze kwanza kuwashangaa Marais wa China, Rusia na Korea, ndipo tumalizie na Rais Magufuli

    naamini watu bado hatujui lugha yetu ya taifa ni ipi nawakumbusha kuwa ni KISWAHILI ukisema JPM hajui kingerexa ww ni muongo kwa ushahidi ufuatao alivyo karibisha waandishi wa habari ikulu mwaandishi wa habari wa BBC ALITUMIA LUGHA GANI? jibu ni kingereza ana alimjibu kwa kiswahili kama...
  12. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    sikatai mawazo yako kwa kuwa ndivyo ulivyo waxa ila katika mada yako naona kama umeelemea kutetea upande mmoja kuwa uko sawa kuliko upande mwingine
  13. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Trump

    TUSUBILI KUTAGAZWA KAMA NI KWELI Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  14. Kibona yessaya

    JamiiForums Tanzania Mbowe atembelea shamba lake alilopigwa marufuku asilime

    kama amekosa anafaa adhabu kwa kuwa anaalibu vyazo vya mah
Back
Top Bottom