Korea kaskazini imesama marekani imeanzisha vita hii inakuaje kwa upande wako

Drax001

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
439
221
Wakuu mitazamo yenu maana mimi naona inaenda tokea vita kuu ya dunia au wote wana ogopana?? Maana korea imeahidi inatungua ndege meli za kivita zozote zitazopita karibu au hata nje ya korea kaskazini .
 
Zile Tomhwack Missile zikianza kuvurumishwa kutoka majini na ardhini plus B-1,B-2/Popo na B-52 msije kuanza kusema Marekani anauwa watu wasio na hatia tuu.
 
Zile Tomhwack Missile zikianza kuvurumishwa kutoka majini na ardhini plus B-1,B-2/Popo na B-52 msije kuanza kusema Marekani anauwa watu wasio na hatia tuu.
Hwansong 14,,,,,, kiduku utamuua kizee cha watu kwa mawazo
 
Sadam nae alibweka hivyo na watanzania wajinga vijiweni wakaaminisha wajinga wenzao kuwa Marekani hawezi mpiga sadam
 
Sadam nae alibweka hivyo na watanzania wajinga vijiweni wakaaminisha wajinga wenzao kuwa Marekani hawezi mpiga sadam
Hili sasa ni taifa zima sio2 dogo pekeake maana nchi hiyo wapo tayari kwa vita muda wowote
0c342752fc7ef42994044dadb28660e9.jpg
718bdbb3328910647ef1d5d6e9b6ee16.jpg
 
Sote tunajua NK hamuezi USA,anatumia kiburi kwamba bomu likitupwa lazima li affect SK na Japan....otherwise NK ingekua history kama isingekua SK na Japan
 
Sadam nae alibweka hivyo na watanzania wajinga vijiweni wakaaminisha wajinga wenzao kuwa Marekani hawezi mpiga sadam
Ukiwasikia wanavyoshangilia utafikiri ni timu za mpira vile.. Ooh kiduku ooh Trump.. Utoto mtupu!
 
Back
Top Bottom