Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Wadau,
Nadhani kila mmoja anaelewa vita inayoendelea sasa kati ya mkuu wa mkoa wa Dsm pamoja na wazungu wa unga. Hii vita ni ngumu sana, na akileta mchezo inaweza ikamuondoa duniani.
Japo alisema yupo tayar kufa, ila binafsi nina mashaka na utayari wake wa kufa kwa sababu "he started with a wrong foot" kwa kuanza kudeal na mtu kama Chidi Benzi. Ni mtu wa mwisho sana kt chain ya hawa jamaa.
Haitakiwi kumsifia kwa anachokifanya kwa sababu, TUKIMSIFIA ATABWETEKA. Inatakiwa tuponde sana juhudi zake kwa sababu by nature, mtu ukimponda, atataka akuoneshe kwamba anaweza. By proving us wrong, atakuwa amefanikiwa.
Ila my tek is, awe makini sn. Those guys have cash, network ya hatar sn. Wana nguvu kuliko anavyofikiria yeye, japo binafsi siamin kma ataweza.