mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Ni kuhusu Lugha , Binafsi nasikia faraja saana kwa JPM kuzungumza Lugha ya Kiswahili Popote alipo , Hii ndio maana halisi ya Nchi inayotaka kujikuza kiuchumi .
Kwann tumekuwa wanafiki, Marais Kibao wameikaja Ardhi yetu , wamekuaja Na Lugha zao na wamezungumza Lugha Zao , Hakuna mtanzania alipaza sautu kuhoji kwann hawatumii kiingereza .
Tusiwe watumwa wa mwili na akili , Lazima Tukubaliane ukuaji wa Lugha ninlazima uende sambamba na Ukuaji wa Uchumi.
Sijawahi Kusikia hata siku moja Rais wa China akitumia Lugha ya Kiingereza hata Kusalimia.
Tusiwe wanafiki, Na Tusitaka kujibeza kwa vitu visivyo vya kwetu , Hata siku moja Siwezi kusijisikia Vibaya Kutokuzungumza Lugha ngeni kwa makosa , Bali itaniwia Aibu kushindwa Kuzungumza lugha Ya Kiswahili Vyema nikiwa kama Mtanzani. Na ndio maana najisikia Vibaya sana hadi leo hii kutikujua lugha ya Kikabila changu.
Mkutao wa AU, JPM katumia Kiswahili , watu wote wamemsikiliza kwa umakini.
Tuanze kuwashangaa Hao kwanza kisha tumshangae JPM , Otherwise Tutakua wanafiki ,na watumwa wa akili.