Habari wakuu,Leo nimecheka sana afu baadae nikawaza sana kile kilichotokea kwa mwaume mwenzangu, iko hivi mkewe amemgundua anamchepuko na Leo jamaa baada ya kutoka kazini mida ya saa mbili usiku mkewe hajamkuta basi baada ya kurudi jamaa kakasirika kamwacha aingie ndani kisha kamfungia kwa nje...
Nimetokea kumpenda Dada mmoja hivi ila ni muhudumu wa bar,sina uzoefu sana na watu hawa ila tangu nianze nae uhusiano ni mwaka sasa kila aikitoka kuuza huwa anakuja home kulala muda ule wakufunga bar ila tatizo ni moja tu yeye Anajiamini sana ila Mimi kidogo kaimani hakapo kulingana na mazingira...
Mda utaongea,naomba wanaume wenzangu tusiwe wavivu wa kufanya maamuzi magumu,uvumilivu wa mwanaume ndio humpa kiburi mwanamke, hawa viumbe ukiona umeanza kuwapenda sana kuhisi huwezi kuishi bila wao bac ujue wameshaanza kuchepuka, kwa sababu umeturuhusu tutoe ushauri Mimi naomba ufanye maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.