Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Msaada: Dogo janja anaimbaga nini? Sijawahi kumuelewa

Hakuimbii wewe ndio maana , na wala anachokiimba hujawahi pitia maishani mwako , ni hivyo tu jamaaa
 
Sio lazima aeleweke na watu wote tanz.kama humuelew pita hiviii aiseee chaliii yangu
 
hivi kuvaa majani ni ubunifu? huyu dogo ananyenyekea sana media ndio maana bado anaishi kimziki ila kwa mashairi hamna kitu na ndio maana mziki wetu haufiki mbali kwa sababu ya wasanii kama hawa.
 
Mimi siwaelewi Dogo Janja, Vanessa Mdee na Jux.....huwa nawashangaa tu
Aheri Jux na dogo janja, vanesa ndo kabisa sijawah sikiliza wimbo wake hata mmoja ukaisha, huwa nadonoa nusu Tu, wimbo wa kidebe wa dogo janja nampa salute hasa ubet wa tatu naukubal sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom