Recent content by KIBEHA

  1. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Bora rais wetu hakwenda Urusi kuliko hawa walioenda kuuchapa usingizi mkutanoni

    Naona walikuwa wanalala tu...........huu ni wizi kabisa wanaendaje kulala kule
  2. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Prof. Kabudi amuonya Lema awe na adabu. Amnyooshea kidole

    Kabudi bana anafikiri ukiwa mteule wa rais na ww unakuwa rais,wanatafuta sababu tu,uonevu kwa mashehe uko wazi.
  3. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Anasema nikiendelea kumsumbua atamwambia mke wangu

    Unakaribia kumpata huyo,ongeza kasi
  4. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mtoto wa Hayati Sokoine, Kereto Sokoine afariki kwa kuchomwa kisu katika ugomvi na mkewe

    baba akisha kufa na cheo chake ndio basi familia inakuwa ya kawaida sana
  5. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliokwisha soma na wanaotarajia kusoma Open University Tanzania

    Ni chuo kizuri sana mimi kwa sasa nafanya MA nadhani sijajuta bali najuta kuchelewa kukijua aisee ni chuo safi sana ila angalizo ukiwa mvivu kitakushinda kinaitaji individual efforts tu.
  6. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    waziri alishatoa tamko basi mjadala ufungwe
  7. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi?: PhD holders kuwa wanasiasa, na Re-Advertized jobs kwa walimu wa vyuo vikuu

    kila kitu kina standard brother,ukiweka holela unategemea nn,acha kanuni zifanye kazi,km mtu anataka kufundisha chuo atie bidii afaulu kwa standard iliyowekwa sio kupiga kelele huku,km kuna ttz lingine sawa lkn hilo la standard hauko sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

    hii mada ilitakiwa tujifunze sio maneno ya shobo,huu ni ulimwengu wa research hakuna anaejua zaidi mambo kila siku yanabadilika. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

    alikua anatoa mfano tu kujaribu kueleza kwa wale wanaojifunza brother Sent using Jamii Forums mobile app
  10. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Ole wao wanaotazama sex (chonda)

    ndio kaingia mjini amekaririshwa vitu huko hajui avipeleke wapi,mmmh tutaona mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    kemange Sent using Jamii Forums mobile app
  12. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

    ukiona manyoya?keshaliwa tyr Sent using Jamii Forums mobile app
  13. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

    jamaa alikipiga na bi mkubwa,Ommy hatari saaaana,tolekaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania Serikali iseme ukweli, ni wanasiasa gani wamekwenda Canada kuzuia ndege?

    Serikali itimize wajibu wake ilipe cha watu isisingizie wanasiasa,hakuna kupandisha mishahara vp madeni mbona hayaishi au nchi impigwa chuma ulete? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. KIBEHA

    JamiiForums Tanzania RC Dar apiga marufuku watendaji walio chini yake kusafiri nje ya jiji bila kibali chake

    good move,ukitaka haki kajiajiri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom