Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
- Thread starter
- #41
Tena hao TCU ni hovyo kabisa! Watakuja kushtuka kumekucha!TCU ni ya kuvunja.
Tena hao TCU ni hovyo kabisa! Watakuja kushtuka kumekucha!TCU ni ya kuvunja.
Sasa ukiajiri kutoka nchi nyingine, utatumia mfumo gani wa GPA! Maana kila nchi ina mfumo wake! Unaweza kuta kilaza katoka nchi ya nje wao kuwa na GPA ya 3.8, ni sawa na kuwa na 2.5 bongo! Hapo utakuwa umeruka mkojo umekanyaga knyesi!Tcu kazen hivyi hivyo maana hatuwez kuajir walimu wasio na qualification kisa kuna uhaba wa wenye sifa.Kuliko hivyo ajiri kutoka nchi nyingine,.. Tuache kushusha elimu yetu
kila kitu kina standard brother,ukiweka holela unategemea nn,acha kanuni zifanye kazi,km mtu anataka kufundisha chuo atie bidii afaulu kwa standard iliyowekwa sio kupiga kelele huku,km kuna ttz lingine sawa lkn hilo la standard hauko sawa.pole sana kwa kuumiza kichwa kwa manufaa ya taifa hili, mimi hili jambo limekuwa likinisumbua sana, watanzania ajira hatuna au tunawapa wenzetu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha GPA, hii issue ya GPA ilishawahi kuzungumzwa sana hapa jamvini lakini mpaka leo sijawahi kuridhika. Kwanza nikiri kabisa GPA ni njia mojawapo ya kumfahamu au kumpata mhandhiri mzuri kwa maana ana anaelewa walau kile anachotakiwa kuwapa wanafunzi wake! Je hizi GPA zina uwiano sawa katika taasisi zetu za elimu ya juu? hapa naamanisha mwanachuo aliyehitimu UDSM, IFM, MUHAS, SUA , MZUMBE nk GPA zao zina uzito sawa? Je wahadhiri wa nje tunao waajiri na kuacha vijana wetu tuna husika au tuna uhakika na mfumo wao wa elimu hapa na maanisha tumejidhihirisha na upatikanaji wa GPA zao?.Kama jibu ni sawa basi ni vyema. TATIZO HAPA UPATIKANAJI WA GPA HIZI UNATOFAUTIANA BAINA YA CHUO NA CHUO.
Tcu kazen hivyi hivyo maana hatuwez kuajir walimu wasio na qualification kisa kuna uhaba wa wenye sifa.Kuliko hivyo ajiri kutoka nchi nyingine,.. Tuache kushusha elimu yetu
kila kitu kina standard brother,ukiweka holela unategemea nn,acha kanuni zifanye kazi,km mtu anataka kufundisha chuo atie bidii afaulu kwa standard iliyowekwa sio kupiga kelele huku,km kuna ttz lingine sawa lkn hilo la standard hauko sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziro kabisaTena hao TCU ni hovyo kabisa! Watakuja kushtuka kumekucha!
GPA ni GPA mkuu, atapata kwa qualification zilizowekwa,nchi zinatofautiana mfumo wa ujumla wa gpa, mfano 5.0 bongo au 4.0 USA,japan na nchi nyingine. Kwa hiyo wataajiriwa kama kawaida 3.8/5.0 au 2.8/4.0 Kitu ni kile kile,hakuna kuchukua chini ya hapoSasa ukiajiri kutoka nchi nyingine, utatumia mfumo gani wa GPA! Maana kila nchi ina mfumo wake! Unaweza kuta kilaza katoka nchi ya nje wao kuwa na GPA ya 3.8, ni sawa na kuwa na 2.5 bongo! Hapo utakuwa umeruka mkojo umekanyaga knyesi!
hujanielewa, soma vizuri post yangu. kama hoja yako ni ku comply na standard ambayo ni GPA hapa nchini haipo hivyo, vyuo ndani ya nchi hii tuna vigezo tofauti ya kupata GPA, Mfano UDSM ukipata 60-65 ni B+Sawa na average GPA ya 4/5, SUA ukipata 60-64 ni B- Sawa na GPA ya 3.0-3.9/5 hauhitaji kuwa professor hapa, kwa akili za kawaida kabisa hapa hamna usawa wa kutumia harmonized GPA? .Huoni graduate wa UDSM mwenye 60 anasifa ya kuwa mhadhiri lakini mwenye alama hizo hizo wa sua anakosa sifa! ni kwanini? hii ni double standard. TATIZO WENGINE HAPA TUNABISHA KIMHEMUKO TU BILA KUJUA KINACHOZUNGUMZWA NI NINI? ENDELEA KUIMBAkila kitu kina standard brother,ukiweka holela unategemea nn,acha kanuni zifanye kazi,km mtu anataka kufundisha chuo atie bidii afaulu kwa standard iliyowekwa sio kupiga kelele huku,km kuna ttz lingine sawa lkn hilo la standard hauko sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
HII IMEKAAJE? CHUO A ALAMA 60-65 NI B+ (GPA YA 4.0/5), CHUO B ALAMA 60-64 NI B-(GPA 3.0-3.9/5). HUONI MWENYE ALAMA 60 WA CHUO A ATAKUWA NA SIFA ZA KUWA MHADHIRI TENA KWA GPA KUBWA YA NNE (4) LAKINI MWENYE ALAMA KAMA HIZO HIZO WA CHUO B ATAKOSA SIFA KWA KUWA NA GPA MBAYA YA 3.0/5?GPA ni GPA mkuu, atapata kwa qualification zilizowekwa,nchi zinatofautiana mfumo wa ujumla wa gpa, mfano 5.0 bongo au 4.0 USA,japan na nchi nyingine. Kwa hiyo wataajiriwa kama kawaida 3.8/5.0 au 2.8/4.0 Kitu ni kile kile,hakuna kuchukua chini ya hapo
Hii point nzuri sana mkuu! Una hitaji pongezihujanielewa, soma vizuri post yangu. kama hoja yako ni ku comply na standard ambayo ni GPA hapa nchini haipo hivyo, vyuo ndani ya nchi hii tuna vigezo tofauti ya kupata GPA, Mfano UDSM ukipata 60-65 ni B+Sawa na average GPA ya 4/5, SUA ukipata 60-64 ni B- Sawa na GPA ya 3.0-3.9/5 hauhitaji kuwa professor hapa, kwa akili za kawaida kabisa hapa hamna usawa wa kutumia harmonized GPA? .Huoni graduate wa UDSM mwenye 60 anasifa ya kuwa mhadhiri lakini mwenye alama hizo hizo wa sua anakosa sifa! ni kwanini? hii ni double standard. TATIZO WENGINE HAPA TUNABISHA KIMHEMUKO TU BILA KUJUA KINACHOZUNGUMZWA
WATANZANIA WENGI NI WATU WA MATUKIO, NI WEPESI SANA KUSHANGILIA AU KUZOMEA BILA KUJUA UNDANI WA JAMBO! PINDI WAKIFAHAMU MAJUTO NI MJUKUU!Hii point nzuri sana mkuu! Una hitaji pongezi
Kakosea wapi mkuu? Huo ndio ukweli kuhusu maisha. Pandisha ubora wa elimu na lipa inavyostahili kwa wale waliofanya vizuri. Mwisho wa siku mahitaji ya msingi ya kila binadamu yanana.Yaani wewe comments yako inaendana na uelewa wako. Ongeza bidii katika kupambana na hali yako.
Kwa ufupi ni watu wa kukurupuka bila kujua chochoteWATANZANIA WENGI NI WATU WA MATUKIO, NI WEPESI SANA KUSHANGILIA AU KUZOMEA BILA KUJUA UNDANI WA JAMBO! PINDI WAKIFAHAMU MAJUTO NI MJUKUU