Recent content by kibanja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Nyinyiemu wataomba poniponi dis tym. Nnaona raha mie jinsi upepo wa mabadiliko ulivyopokelewa na watz. Pipooooooozzz hakiiiiiiiiiiiiiii
  2. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Nyalurembo mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Makonda si ndo yule dogo mwenye ulimi mrefu kushinda mdomo? Nitamuuliza Bupe anifafanulie. Mfa maji yule
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

    Kwani alitakiwa aanze baada ya muda gani kuomba? Kwa mtizamo wako!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    Dawa iko jikoni tena moto wa magogo. Mtainywa october 25. Watanzania wenzangu amkeni
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi maumivu

    Mh! Jipende kwanza kisha nafsi yako itakuelekeza kifuatacho. Au umefilisika
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sema,"Ahsante Mungu"

    Kasiinge Rugaba
  8. K

    JamiiForums Tanzania Judge akipambana na changamoto za kutwa nzima.

    Ka barrrrrrrrriiiiiiiiiiddddddiiiiiiiiiii
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini inakuwaga hivi?

    Haijalishi ukitoka hapo unaelekea wapi kikubwa na cha msingi ni uko wapi. Ni nyumba ya ibada na kwa imani tunaamini mahali patakatifu. Tosha. Kumbuka kuna mkao wa baa na mkao wa g/house. Tofautisha na mkao wa kanisani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba mwenye kuvutia asiwe mwalimu

    Wewe ni naniii. Masharti magumu kama nini. Huna lolote utamtesa dada wa watu. Oa nesi shifti za usiku ukome roho mbaya yako. Hutaki kuombwa hela kwani mwanaume anaombwaga mbupu?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote mwenye wazo au ushauri

    Natamani kukusaidia. Kwa mitishamba. PM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

    Anahesabika huyo. Au sio?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Bupeeee Zito ndo nani vileeeee
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jiko dogo la gesi linauzwa

    Jiko la "gase" ni lipi Bupeeee?
Back
Top Bottom