Boss Brother
Member
- May 26, 2015
- 12
- 5
Nahitaji mchumba wa kike mwenye kuvutia kitabia na mwenye upendo kwa mume asiwe mwalimu mwenye kudhani anavutia. Ila mimi napenda mtu asiye tapeli nahitaji aliye tayari anijulishe na ni marufuku kuniomba hela, mimi sina bajeti ya kuhonga nisiye mfahamu. Anitafute inbox tuelewane