Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

Status
Not open for further replies.
Sep 10, 2013
335
0
Kama mwanasiasa mwenzangu nakupa pole(THE YUDA OF OUR TIMES)nilitamani nikuokoe na zomea zomea ya leo Katoro na Geita mjini.Mara kadhaa huwa nafikiri juu ya political intelligence yako na that genius in you.

Katoro ulipanic sana baada ya kuulizwa u double standard wako kwenye siasa za nchi hii,ukakasirika,ukashuka jukwaani,ukazomewa,ukalowana.

Kilichokuponza Geita mjini ni kuitaja chadema kama mkia na kwamba wewe ni ng'ombe hivyo huwezi kutikiswa na mkia."why brother!!!kwa nini ukosoe tumaini la wa Tanzania!!!are you not scared of the dangers you might face!!!""nashukuru uwepo wa jeshi la Polisi.Kule uendako usirudie tena kuitaja chadema negatively....usije kusema sijakuonya.
 

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
2,000
Yaani huu ni uandishi wa kimajungu mno.... muda unayoyoma, fanyeni yenu jamani, waelezeni watanzania sera zenu na utekelezaji wa ahadi mlizotoa miaka 5 iliyopita.....kwanini mumfuatilie zzk?....

Hivi itakuwaje kama kila chama kitanndaa vijana wa kuzomea viongozi wa vyama vingine? Huu ni utoto wa hali ya juu.
 

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,000
Alphonce Mawazo

THE TRUTH NI KWAMBA ULIKUWA UMEMUANDALIA ZOMEAZOMEA UPATE CHA KUSEMA, YOU ARE TOO LOW AND STUPID BROTHER, SIJAWAHI KUONA KIJANA MSHAMBA KAMA WEWE!!! JUST WAIT A BIT AND YOU WILL SEE!!!,hongera UMEWAFURAHISHA MABWANA ZAKO WA UFIPA
 
Last edited by a moderator:

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,861
2,000
Zitto anawapa mimba mshindo aisee ,kumbe hadi Leo hii hamjaweza Ku handle stress zake
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,504
2,000
Zitto anajidanganya Sana kuwa yeye ni genius wakati ni debe tupu tu!!!

Sijui wanaomsifiaga wana caliber IPI ktk viwango vya kufikiri Kama huyo bwana kwao ni genius!!!

ZZK ni mwepesi mno kifikra na bila kukariri au kumeza vitu hawezi chochote!!!

Hasira nyingi na mwepesi Sana wakupoteza attention pale anapopata challenge!!!!
 
Last edited by a moderator:

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,705
2,000
Mhhhhhh! Ayatullah na mambo yake dah!

Dr measkron pita huku uone ng'ombe hawezi kutikiswa na mkia.Kama mwanasiasa mwenzangu nakupa pole(THE YUDA OF OUR TIMES)nilitamani nikuokoe na zomea zomea ya leo Katoro na Geita mjini.Mara kadhaa huwa nafikiri juu ya political intelligence yako na that genius in you.
Katoro ulipanic sana baada ya kuulizwa u double standard wako kwenye siasa za nchi hii,ukakasirika,ukashuka jukwaani,ukazomewa,ukalowana.
Kilichokuponza Geita mjini ni kuitaja chadema kama mkia na kwamba wewe ni ng'ombe hivyo huwezi kutikiswa na mkia."why brother!!!kwa nini ukosoe tumaini la wa Tanzania!!!are you not scared of the dangers you might face!!!""nashukuru uwepo wa jeshi la Polisi.Kule uendako usirudie tena kuitaja chadema negatively....usije kusema sijakuonya.
 

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,504
2,000
Yaani huu ni uandishi wa kimajungu mno.... muda unayoyoma, fanyeni yenu jamani, waelezeni watanzania sera zenu na utekelezaji wa ahadi mlizotoa miaka 5 iliyopita.....kwanini mumfuatilie zzk?....


Huyo genius wenu kwanini hatafuti Sera za kuwaambieni zaidi ya kujaribu kupapambana na CDM??

kulikua na haja gani ya kusema CDM mkia yeye ndio ng'ombe?

Msiba wakujitakia hauna kilio......
 

Kaliua urambo

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
603
250
Sioni dalili za kuzomewa ,endeleeni kuumia tu

attachment.phpattachment.php
 

Attachments

 • 1434299719955.jpg
  File size
  130.5 KB
  Views
  8,906
 • 1434299747996.jpg
  File size
  121.1 KB
  Views
  8,525

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Habari za zitto tulishazisahau sasa naona kaamua kuzifufua kwa kisingizio cha azimio la tabora lakini anaishia kutupiwa makopo na kuzomewa huyu ndio basii tena
Imebaki historia yake chafu kwenye vitabu tu
 

Kapwela

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
2,012
2,000
Alphonce Mawazo

Uwa ninasikitika sana ninapowaona vijana wanafanya siasa za kijinga kama unazozifanya.


Hii ni ishara ya fani ya siasa kuvamiwa na watu wasio na uwezo wala upeo.

Bila shaka mliandaa vijana wa kuzomea kama kawaida alafu unashangilia, hii ndio inaitwa kujitekenya na alafu unacheka mwenyewe, wenye akili wataishia kukudharau.

Nadhani ni wakati sasa tufuate katiba ya Warioba kuweka walau kile kigezo cha degree moja ili tuwapunguze watu wengine kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom