Recent content by Kibanikolo

  1. K

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    NDUGU haya yote ulyosema yamezingatiwa serikali yetu ni makiini saaana A
  2. K

    RIP Steven

    Hilo nalo neno,kwa kweli wasanii wetu wametanguliza ngono na ndio maana mungu anawaumbua, kuweni na moja
  3. K

    Baada ya tendo la ndoa

    kwa nini uogope au unafanya mchezo mbaya "TIGO"
  4. K

    Rashid Hamad, Maalim Seif humuwezi weye alimushindwa Nyerere wewe utaweza, kaombe radhi

    Hamaad Rashid tutakukosa sana mbungeni hasa kwa busara zako.CUF ndio iliyokupeleka Mbungeni na sio mahakama kaombe Radhi urudi mbungeni namini Maalimu Sefu wewe humwezi hata kidodgo ,kwa vile yeye ni maalimu atakusamehe
  5. K

    Sumayae ana usafi gani hadi Mtikila amsifie sana?

    ndugu mbona husomeki ya mgaya yametoka wapi?, wote waliochangi umesoma hawa ndio wanafalsafa hata kama unauhusiano naye jibu hoja na sio unaubinafsi
  6. K

    Sumayae ana usafi gani hadi Mtikila amsifie sana?

    Jamani naumia sanaa kusukia mtikila a namusifia sanaa sumaye hivi jamani ana usafi gani naomba mnijuze mwenzenu
  7. K

    Kumekucha: Wachina watinga Ludewa kuanza kazi ya madini

    Mheshimiwa uwe mwangalivu na wachina historia itakuhumu ,unawajua watu wa ludewa walivyo
  8. K

    Shibuda: Wanaopinga posho ni madomokaya na wahuni

    Baba wa taifa aliwavumilia wengi kila mtu mwenye mke au mume amemchoka ni kuvumiliana
  9. K

    Katiba: Mtikila na Hoja ya Tanganyika

    Yuko anatafuta hela kwa kakobe,misukule na viongozi wengine wa dini....kwa kweli alikuwa mwanasiasa shupavu .makini, na anayeona mbali, lakini kaoteza mwelekeo
  10. K

    Iringa kwachafuka: FFU watumia mabomu, waandishi wapigwa mawe

    Kwa kweli dini hizi zinazoingia sasa hivi sichunguzwe maana inaonekana wengi wamegeuza ndio kichaka au sehemu ya kuficha mambo maovu mengi na kuwaibia wajane ,yatima kwa jina utoe ili ubarikiwe tofauti na madhebu makubwa kama catholic.anglikana,lutherana.morovian.na mengine ya siku nyingi
  11. K

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Pole sanaa shujaa na mtetea wanyonge,mimi ni padri nilifanya ibaada upone mapema,na Mungu akuepushe na hatari zote .Mungu atakujaria wewe na wenzako wote walioenda kutibiwa huko india amini.
  12. K

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Habari za kuaminika ni kwamba ,baada ya kufukuzwa na karume Okello alienda kenya kupitia mombasa na alikimbiliaäkongo baada ya kunusurika kuawawa mara nyingi na makachelo wa karume,mwaka I971 alionekana akiwa na idd amini .idd amini alipo jitangaza fidel marshall hakupenda wawepo mafidel...
  13. K

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Mimi ni PADRE wa kanisa kubwa, hata mimi naunga mkono mheshimiwa,kwasababu anauwezo wa kuamua katika mambo magumu,na mengi tu mazuri aliyofanya mazuri
Back
Top Bottom