Recent content by kibamia original

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Wewe uko JF inakuwaje uko shallow namna hii kwenye taarifa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Microwave (Nikai Brand) inauzwa

    Wapi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    [emoji101][emoji101]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Jana na leo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Wewe ndiye uliyeleta bandiko kuwa kuna rafiki yako anahitaji mtu, kumbe ni wewe. Ukawa na kiingereza kingiiiiii. You know za kutosha sana. Vumilia tu dada, that was your choise, stick to it.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Kibadamo na Sharon enzi zake, 2006 ilikuwa huwezi kwenda, ni sisi wababe tu, ila Sasa yamebaki magofu tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa lodge kuweni serious

    Kagame, Sharon, Kibadamo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Kabla ya kuwekwa hizo, ilikuwepo lift moja inazungua balaa, inaweza ikafika sehemu husika mkakaa humo hata dakika 2 ndio inafunguka
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Hela za mother ziko wapi tugawane, naona hazina imekombwa yote
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Huu ndio uchochoro ambao USA na NATO watapitia. Ni suala la muda tu
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF washindwa kukabiliana na majangili huko Turkana, wakazi walalamika

    Police nchini Kenya wana uniform mbaya sana sijapata ona.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acha ushamba, toa hiyo picha. Mbona unakuwa kama umeanza mapenzi juzi. Sio sifa bali unamzalilisha huyo mwanamke
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ukisoma hizo charts between the lines, zina walakini sana. Tune ni moja pande zote
  14. K

    JamiiForums Tanzania Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

    Ulaya mbona mbali Sana, Ishi Arusha miezi sita halafu nenda Dar, unaona mji mzima una fukuto la uchafu na vumbi. Hewa ni nzito sana. Asubuhi ya saa 12 ukiwa unaenda posta maeneo ya magomeni, kuelekea jangwani, kwa juu kuna kitu kama moshi mzito unaofanya hewa iwe nzito sana Sent from my STK-L21...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

    Kuna jamaa lilikuwa business partner likaja kuniambia eti kwenye tuweke mambo Sawa kwenye kampuni hata akifa mke wake asipate shida. Nikamuuliza kama amewahi kuugua ukichaa. Jamaa lipumbavu kabisa Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom