Recent content by kibajaji

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi yangu kwake imechukuliwa na mitandao ya kijamii

    simu ikiingiza sms safari imeisha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi yangu kwake imechukuliwa na mitandao ya kijamii

    Habarini wanajamvi Niko kwenye ndoa ni mwaka wa nane sasa, mume wangu ni mature person wa miaka 35, ila kuna tabia moja anayonikera nayo mno ya kutumia muda wote baada ya kazi kwenye mitandao ya kijamii ifuatayo whatsup, facebook, youtube na JF anajisahau humo Sio asubuhi sio usiku wa manane...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    kaka nimewahi kuwa kwenye viatu vyako ni mwaka sasa ila bado maumivu ni makali sana nilibaki kwenye ndoa kwa ajili ya watoto ila hata ikifika wakati wa kulala nataman kubaki sebuleni,i really hate my spouse so much, alikiri ila sikuwahi kumtia machoni aliyecheat nae alitoweka, ila kukaa mbali na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

    Mapacha hawa wana juhudi sana na mtazamo chanya na kifupi ni wadada wanaoelewa wanataka nini kwenye maisha yao tofauti na vijana wengi wa kitanzania, wako very smart hata kwa kufuatilia matokeo yao na wanajiongeza sana, kwa mfano miaka ya A- level pale Arusha sec kulikuwa hakuna mwalimu wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuitwa Serengeti International Airport.!?

    KAGAME international airport ingefaa zaidi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

    utakavyamua mwenyewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uzuri wangu sasa umekuwa kero

    utoto unakusumbua
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumwambia mke wangu kuwa nimezaa nje?

    Uzinzi si jambo jema wisho wake ni aibu tuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na dada yangu wananichanganya.

    mwombee my be atabadilika kwa huyo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!

    0000 Mabasi haya hayana route za msm bali sirari-mwz. ila tabia za mmiliki wake ni mbaya kuliko zinavyoelezeka muuaji, jambazi, mmbabe. moja ya gari zake zimeandikwa ccm no. one, ho-----
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kazini tra

    Salam zenu wanajamvi Tafadhali kwa mwenye orodha ya walioitwa kazini TRA kwa zile nafasi za tax officers atujuze wajameni :juggle:
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya JK haiuoni uchochezi unaofanywa na RADIO IMANI?

    ka ndo mambo wanayofundishwa waumini wa hii dini mbona tabu tupu ka ushirikina vile na watoto wa kiislam kweli wataendelea katika elimu ya kawaida baada ya kujaziwa huu upuuzi kwenye akili. you have long way to go
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya JK haiuoni uchochezi unaofanywa na RADIO IMANI?

    kwa hiyo.craaaaaaap!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya JK haiuoni uchochezi unaofanywa na RADIO IMANI?

    nadhani una matatizo ya akili au stress za hali ya juu ka huna itakuwa umeishia darasa la pili na hapo ulipo ni secretary wa ofisi fulani umeingia huku ka bahati mbaya jaribu kufikiria ndo utume post unazidi kuudhaliisha huo uislam kwamba uelewa hata wa waumin wake ni mdogo
Back
Top Bottom