Rafiki yangu na dada yangu wananichanganya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yangu na dada yangu wananichanganya.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maliboro, Jul 30, 2012.

 1. M

  Maliboro Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi amemrubuni dada yangu na anataka kumwoa na tayari ameshampa ujauzito.Nimeshindwa nimsaidieje dada yangu huyo.Nisaidieni mawazo.
   
 2. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Kubali yaishe tu! Ngoma kishaicheza huyo, cha msingi ni kumwombea kwa mungu amuepushe na mabaya yanayoweza kutokea mbeleni.
   
 3. Myheart

  Myheart Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnh! Mwenye dada hakosi shemeji.
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwani tangu wanaanza uhusiano hadi kupeana mimba wewe ulikua hujui??its too late!
   
 5. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  too late.... aliyekula kala
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  Zungumza na dada yako, pia mpe ushahidi wa maneno yako..... Ila mwamuzi wa mwisho ni dada yako
   
 7. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Maji yameishamwagika.
   
 8. k

  kibajaji Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  mwombee my be atabadilika kwa huyo
   
 9. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama huyo dada yako ulishamwambia kuhusu tabia za huyo kidume na akakataa we ushanawa mikono.
  Waombee maisha mema tu,hakuna njia nyingine akimgeuka we ushanawa.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, unachotaka fanya ni sawa na kuvaa bullet proof wakati risasi ishakupata.

  Kila mtu ana maisha yake huwezi mpangia, ndo keshamchagua huyo.

  Mweleze ukweli wa tabia za rafiki yako achague mwenyewe atakacho.
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Daa hapa kazi ni kubwa mno ni kama Kujitahidi kuficha mavuz wakati unamuonesha uchi mtu.Hapo ni kumtaarifu dada yako kuhusu huyo jamaa.
   
 12. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa nini unasema amemrubuni?? Kubali tu, wamependana.
   
 13. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Is not too late my dear tell you sister,damu nzito bwana mimba sio kifungocha kujifungia kwa mwanaume.we mweleze ili akae ana tahadhari kichwani kwake kwamba jamaa saa yoyote atapotea kumbuka akiondoka bado dadako atabaki kuwa nduguyo na hata utawajibika kumsaidia kama una utu.itamsaidia kukaa na jamaa kimachale au kumwacha.tell her
   
 14. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  don waste ur tym wit women mind, they ar olwayz the sem so let them be blind 4eva coz hata ungemwambia bado sidhani km angekuelewa
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  umewezaje kua rafiki na huyo jamaa? kaz kwelkwel.
   
 16. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Maliboro


  Today 17:32
  #1 [​IMG]
  [​IMG] Junior Member Array


  Join Date : 28th July 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0

  naona unahasira za muda mrefu, hivi huyo ni rafiki au shemeji? maana post ya kwanza tu malalamiko, Du mweleze huyo Dada yako kapotea kumkubalia rafiki yako, na wewe kambandulie rafiki yako huyohuyo km ataona raha akishtuka mfukuzie mbali
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii ndoa ya bila ya ndoa ni ngeni hapa Tanzania? maana ndio naiskia leo.
   
 18. Spinster

  Spinster JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Eti eeeh....women a blind nan kasema?men je...deaf o?
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa ndo nn?!! Ah wewe kama kaka una uamuzi wa kufanya coz ujue huyo jamaa atamchezea tu sista afu amuumize na kumharibia maisha lakini ye huyo sista alikua hajui tabia za huyu jamaa mpaka akakubali kupewa mimba? Wanawake lkn sometimes wananiachaga hoi na decision zao
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa vyovyote vile mna tabia zinazofanana

  na ndo maana mkawa marafiki

  sasa mungu ametafuta namna ya kukurudishia yote uliyowafanyia wengine.....

  what goes around....comes around
   
Loading...