Ndg zangu nawasalimu. Kumekua na watu wachache wanaopenda kula kiulaini katika kijiji cha Ngaritati wilayani Siha wanaofanya ubambuzi wa nguvu wakidai wanabambua sh 9000 ya chakula cha wanafunzi wa shule ya msingi Ngaritati pamoja na sh 5000 ya miguu.
Ikumbukwe kwamba asilimia kubwa ya...
Hello wana JF,
Naitwa Salehe Jafary natafuta mke mwema wa kuanza nae maisha, elimu, dini sichagui ili mradi awe mwenyeji au anapenda kuishi Mwanza, Simiyu. Umri miaka 19 hadi 25.
Aliyetayari anicheki 0743602065
Uongozi wa Sunshine academy iliyopo Lamadi eneo la makanisani wilayani Busega, unatoa nafasi ya kazi kwa Mwl.
Sifa: Awe na ECD certificate au diploma
Awe anaishi Busega.
Awe ndio katoka chuo.
Kwa mawasiliano piga namba +255756506024 email amedeusmushi88@gmail.com au tuma sms kwenye whatsapp...
Ngd zangu niwasalimu katika amani na maendeleo ya nchi?
Nchini Africa Kusini hivi majuzi rais Jacob Zuma alisaini law iliyopitisha watu wote wenye HIV kuwekewa ndui pajani ili ukikutana naye kimwili ujijue unaangamia
, je kwetu watazuia vipi janga hili la kitaifa linalokuja kwa kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.