[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] anakimbia kulimaWewe unakimbia kukamatwa na mkuu kupelekwa kambini eeeeh......
Waweza kula nyama utumbo kinfolk viko mix halafu vimepikwa kwa maweseNashukuru sana, naomba unieleze zaidi juu ya chakula.
Okay vizuri, utafikia jimbo/mji gani? Maana Nigeria ni kubwa na kila sehemu kuna mambo yake
So what?Tanzania yetu kubwa klk Nigeria!
upo sahihi mkuu hawa jamaa kwenye upishi na maandalizi ya chakula hawapo vyema ukiwa na roho ndogo mara unaacha kulaTahadhari ni hiyohiyo ya ulaghai kuwa nayo sana makini ila pia jiandae na kukutana na bodaboda nyingi sana zaidi ya zile unazo ziona Dar na pia swala zima la chakula hawako vizuri wako rough sana