Recent content by Kiba mzaire

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Ronaldo na Messi msimu 2017/2018 mjiandae kisaklojia tuzo ya Ballon d’Or

    Anayeongoza Kwa magoli Kwa Bara Zima la Ulaya ni MO SALAH mwenye magoli 41 mpaka Sasa Kwa mashindano yote Ronaldo wako ndio kwanza Ana 32 fuatilia records vizuri ndio uje hapa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

    Mwendokasi inaingiza 3.8bn Kwa mwaka so it's a viable project na itarudisha hiyo hela kabla ya wakati
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waasi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen waushambulia Mji mkuu wa Saudia Riyadh kwa Maroketi

    Saudia ndio iliyoanza kuishambulia Yemen na wameuwa watu wengi Sana sana more than 100,000 Wana miaka 2 Sasa wanaipiga Yemen
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Bus Service: Wahudumu (kondakta na madereva) acheni kauli mbaya kwa wateja

    Kaka Sasa hivi kuna TAHMEED kaweka vyuma hatari kudadeki Tshs. 40,000 seat ni VIP two by one hatari Sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

    Hahaha eti more skillful Sasa nakuweke orodha ya most skillfull central defenders na ndio pia mabeki wenye roho ngumu... Fernando couto, Marius tresor, Jose andrada, Antonio Cabrini, Jaap Stam, Gaetano scirea, Jose Antonio Camacho, Berti Vogt, Ronald Koeman, Laurent Blanc, Obdilio Varela...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

    Hahaha Bonus anawezaje kusimama mbele ya Mathias summer, anawezaje kusimama mbele ya Stephen efernberg, anawezaje kusimama mbele ya frank boer, unapitaje kwa Hector Sanchez..... Uliwaona watu Hawa wakicheza lakini?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

    King of freekick anajulikana kwa Jina la Juninho Penambucano
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

    Mwana utakuwa umezaliwa juzi kwa sisi tuliouona mpira wa kweli Sasa hivi hakuna kitu hata kimoja kinavutia au ushindani kwenye soka... Mpira umekuwa mchezo rahisi ambao hauna mabeki wakatili, hauna viungo wakabaji wakatili, washambuliaji wenye uchu, na mawinga machachari.... Kizazi cha watu hao...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Reli ya standard gauge ya Rwanda na Tanzania ni kaburi la uchumi wa Tanzania

    Aisee kama haujasoma rudi shule kwa kweli khaa so unamaanisha sisi tunajenga reli sabu ya kagame? Hahaha unajua faida za reli kwa nchi? Hivi gharama za usafirishaji wa mizigo Kwa njia ya reli ni sawa na njia ya bara bara? Hahaha nacheka kwa dharau...afu sijaona hoja why iwe ndio chanzo cha...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi: Master Fabricaters inaweza kushindana na China utengenezaji wa magari kuvutia abiria?

    Haahh kijana katika hizo gari kila kitu master wamechukua china kazi yao ilikuwa ni kufanya assembling tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel afungua kampeni zake kwa mbwembwe Jimbo la Siha ''aliungurumisha dude''

    Unaongelea ukombozi upi nchi huru hii Tangu 1961. Kasome historia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa jirani zetu wakenya kuna wasichana warembo na wazuri.Huu ndo ukweni

    Kaka kama kuna mkenya anaitwa iphiwe, ncumisa, Tabang nitakuelewa in short hao wote uliowaweka ni wa South Africa wanatoka kwenye kabila la watu wenye shepu zao wa Xhosa sasa sometimes usitufanye wajinga sawa eeeh.... Boya mmoja na hayo ni majina yao
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kagera na Mwanza wapata boti ya kisasa(Speed boat)

    Acha wewe haijaifikia flying horse ni kubwa sana sababu inauwezo wa kubeba abiria 700 na Tani Mia za mzigo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

    Kijana kafungiwa kwa sheria ya basata sio makosa ya Mtandao usikurupuke tu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ronaldo de Lima: Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani

    Duuh kweli haujui soka dogo maana kama uwezo wa kupiga chenga kulikuwa na mabingwa wa kazi hiyo unakumbuka Jose Sapinto? Huyu alikuwa anamfanya beki mahiri Roberto Carlos asipande mbele na alikuwa anampita takavyo, kuna mtu alikuwa anaitwa Denilson unamkumbuka..... Mesi anapiga chenga wachezaji...
Back
Top Bottom