Dkt. Mollel afungua kampeni zake kwa mbwembwe Jimbo la Siha ''aliungurumisha dude''

Viongozi wa ccm HAI msimpe ushirikiano huyu mtu, kumbukeni kuwa mgombea alikuwa anatakiwa atoke miongoni mwenu na sio huyu wakuja. Ktk sanduku la kura mkataeni kabisa huyu msalitri na ni mtu asiyeaminika. Kesho atakimbilia tena TLP kumuunga mkono Mrema.
 
MWIGULU KAZI UNAFANYA SAA NGAPI, maana wewe ndio umekua mpiga kampeni sasa wakati wizara yako mi moja ya wizara nyeti tena yenye matatizo lukuki yanayohitaji ukaribu wa waziri husika..
 
Ninawajua wana hai, watamtandika asubuhi tu, ahongwe yeye, akafu atuombe kura tena haiwezekani.
 
Yaani sasa hivi nalipa zile kodi za lazima tu maana huu ni uharibifu wa kodi zetu

Balance msaidie Kamanda Mwenzio Henry Kilewo Mwanamke wake anamdhalilisha mitandaoni kwa kukosa hela ya kuhudumia familia yupo bize na Chadema
 
Kweli ingekuwa kwamba ukishachaguliwa ukajivua, huruhusiwi tena kufanya siasa maisha yako yoye hii ingewanyosha watu.

Kama Chadema walivyomfanyia Nyalandu
Kujiuzulu agombee kupitia Chadema kwa kuwa alishaweka Mazingira Sawa Mara ghafla Chadema wanajitoa ili asigombee baada ya Matokeo ya Singida kutoka wanaendelea na Kampeni Uchaguzi wa Kinondoni
 
MWIGULU KAZI UNAFANYA SAA NGAPI, maana wewe ndio umekua mpiga kampeni sasa wakati wizara yako mi moja ya wizara nyeti tena yenye matatizo lukuki yanayohitaji ukaribu wa waziri husika..

Kashindwa kazi sasa anakimbiakombia kujificha kwa mwamvuri wa kampeni

Tumpuuzie ti



Swissme
 
19149238_1495971977119550_6064693837857265507_n.jpg
 
Back
Top Bottom